Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
vyaa gaguloo,skintyt,shumizii,kishidaaa na sketii ndefuu,yenye pichaa ya mauwa uwaa na marindaa,pigaa mkanda wako wa kipepeo hakikaa utakuwaa burudaniii
hahahah!! Umetishaaa!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
vyaa gaguloo,skintyt,shumizii,kishidaaa na sketii ndefuu,yenye pichaa ya mauwa uwaa na marindaa,pigaa mkanda wako wa kipepeo hakikaa utakuwaa burudaniii
...lol...mie huvutiwa na anayevaa bai bui, kujifunika ushungi na mwenye mwanya!...ati nawewe 'unakolea' na wanaume gani achilia u 'gentleman?'
...nilimsoma Afrodenzi yeye hukolea na mwenye Bass, BJ mwenye kifua...na wewe?!
Hahahaha. . . . Wewe waupenda sana mwanya Mbu. Nakumbuka kale kathread. Sijui tusionao tukachonge. . . ?Lol
Hehee bass muhimu aisee. . . lolz. Kuna kathread nlikua nafikiria kupandisha, ngoja nikapandishe na nyie mjue tunavutiwa na nini.
...lol...mie huvutiwa na anayevaa bai bui, kujifunika ushungi na mwenye mwanya!...ati nawewe 'unakolea' na wanaume gani achilia u 'gentleman?'
...nilimsoma Afrodenzi yeye hukolea na mwenye Bass, BJ mwenye kifua...na wewe?!
Madira, mwanamke ujisetiri....lol
Wasukuma wengi hasa wa vijijini ni jadi yenu, mnazimikaga sana kwa totos white. Hata ID yako inaonyesha hivyo. Ndokeji.
Mashallah!..unakumbuka eeh Mbu..!
Ngoja nijifunze kutabasamu, kusikiliza na kupendeza.
Swali. . . mavazi gani niwe navaa?
mi nampenda demu wangu anavyo kibao hapa hata vingine havipo aseee yani wote hapa mpo chaka jamani aaaaaaaaaaaaaaaaah demu wangu mkaliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
vazi la ktanzania...,
ila ndani yake ukipiga ''half angle" ni moja kati ya aina bora zaidi za underwear .......
kama mwanamke ana sura nzuri, ana umbo zuri, ana mvuto, anapendeza akivaa mavazi lakin kama tabia yake ni mbaya vitu vyote hivyo vitakuwa ni irrelevant./havitakuwa na maana yoyote ile
Ngono ndio itakayo ua JF