Aina ya Bangi inayovutwa Tanzania imeachwa kuvutwa Marekani na ulaya tangu miaka ya 1970, watanzania wanaendelea kuvuta na kuyasifia makapi

Mbona husemi ugali wa mahindi unaokula ukihisi ni chakula wamarekani hawayali yakiwa hivo? Hauna ujanja wowote kutuelimisha habari za skanka mambo karibu yote ya mfumo wa maisha tunatofautiana na wamarekani
 
Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu.

Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Moro" n.k, kwa kujidanganya ni kiwango sawa na bangi za Marekani, ni uthibitisho usio na shaka kwamba watanzania wanaovuta bado wapo gizani na hawana elimu ya kilevi wanachotumia, ndio maana huwa sishangai vituko vya watumiaji wa huu mmea.

Ni kwamba Kuanzia miaka ya 1970 bangi inayolimwa haina mbegu, ni huku Tanzania na nchi nyingi Africa bado tupo gizani, ukitaka kuniamini watanzania hawajui chchote kuhusu hili ukiwajuza watakwambia "huwezi kutuambia chochote kuhusu bangi, Cha Arusha ndio chenyewe na hakuna bangi isiyo na mbegu", ni wabishi vibaya mno.

Bangi ni mmea na kwa elimu ya shule ya msingi tulijifunza kwamba ili mmea utoe mbegu, inabidi mmea wa kike (female blant) unase polen za mmea wa kiume (male pant), polen huwa ni kama unga zinafikia mmea wa kike kwa upepo, kuhamishwa na wadudu, ndege, n.k. zikifikia mmea wa kike kuna mbegu zitaanza kuota.

hivyo ili bangi isiwe na mbegu inabidi mkulima apambane sana shambani kuzuia pollen isifikie mmea wa kike, yaani inabidi autunze sana mmea wa kike azuie pollen za mmea wa kiume zisifike.

Bangi inavyoota ikizuiwa kuzalisha mbegu matokeo yake mmea unaweka nguvu zote kuzalisha kilevi, huzalisha maua makubwa zaidi yenye kilevi pure, hii ndio bangi inayokuwa na viwango na salama kwa afya.

Huku Tanzania bangi inapandwa msituni inaachwa ijiotee bila uangalizi inasubiriwa kuvunwa tu, ni lazima ukute ina mbegu, huwezi vuta moja ndio maana unawaona watu wanazichambua kwenye vihanja kutoa mbegu na bado huwa kuna chembechembe zisizoonekana zitabaki,

mbegu hutolewa sababu zinafanya kichwa kiume, zinapunguza nguvu za kiume, zikivutwa zinapasuka kwa sauti kali zikiangukia kwenye nguo zinatoboa, hufanya macho yawe mekundu zaidi kuliko bangi isiyo na mbegu, pia huwa zinaathiri mishipa ya ubongo.

Halafu kuna huu ushamba mwengine unaoonyesha wazi watanzania wanaovuta hawajui hata elimu ya mimea, mtu anasifia "hili ni ganja dume, ni kitu original", hawana hata elimu kujua kwamba sehemu ya kiume ya mmea kazi yake ni kuzalisha polen sio maua yanayovutwa, sehemu pekee inayovutwa ni maua yanayozalishwa na upande wa kike wa mmea.

Bangi ya Tanzania ipo hivi, unaweza kuona hizo mbegu zilivyojaa,

View attachment 2952253

Bangi isiyo na mbegu hii hapa

View attachment 2952255
Sasa wewe wavuta ipi?🙂
 
Najikuta nataka kuandika sana, ila usijali najua changamoto yako ipo kwenye mbegu baadae nitakuja na namna bora ya kutreat mbegu na hutokaa ujute ukishajua jinsi ya kudeal na hizi mbanga.
 
Huyo katafuta tu kichaka cha kuficha aibu ya kupenda kulaliwa na wanaume wenzake, wamarekani weusi kibao wanavuta bange na wapo straight kama mshale.
Hushtuki wameanza kuruhusu bangi sasa hivi wakati kabla ya hapo walikataza, hizo kitu kwa sasa wamezichakachua.......hata wale watumiaji wa huko wa mda mrefu wanakwambia kitu cha sasa kipo tofauti na enzi zao na vitu vya GMO ni hatari
 
Najikuta nataka kuandika sana, ila usijali najua changamoto yako ipo kwenye mbegu baadae nitakuja na namna bora ya kutreat mbegu na hutokaa ujute ukishajua jinsi ya kudeal na hizi mbanga.
muhimu kuchambua mbegu na vijiti
 
Wewe kama bangi imekukataa basi kaa pembeni tuache sisi wazee wa skanka, cha arusha n.k tumoke tupate stimu za kuwalamba dada zako wazuri.
 
Upo sahihi wavuta bangi wa Tz wametofautiana na wavuta bangi wa marekani sehemu kubwa Sana.😲

Ila utofauti huo upo katika MAISHA na sio bangi Kama bangi.
 
FB_IMG_1709823310285.jpg
 
Inashangaza sana kuona hadi leo watanzania wanavuta makapi yaliyoachwa kuvutwa miaka ya 1970, yani mpaka leo hawajastuka tu.

Makapi haya yanasifiwa kwa majina kama "Cha Arusha", "Tarime one", "Cha malawi", "Skanka ya Moro" n.k, kwa kujidanganya ni kiwango sawa na bangi za Marekani, ni uthibitisho usio na shaka kwamba watanzania wanaovuta bado wapo gizani na hawana elimu ya kilevi wanachotumia, ndio maana huwa sishangai vituko vya watumiaji wa huu mmea.

Ni kwamba Kuanzia miaka ya 1970 bangi inayolimwa haina mbegu, ni huku Tanzania na nchi nyingi Africa bado tupo gizani, ukitaka kuniamini watanzania hawajui chchote kuhusu hili ukiwajuza watakwambia "huwezi kutuambia chochote kuhusu bangi, Cha Arusha ndio chenyewe na hakuna bangi isiyo na mbegu", ni wabishi vibaya mno.

Bangi ni mmea na kwa elimu ya shule ya msingi tulijifunza kwamba ili mmea utoe mbegu, inabidi mmea wa kike (female blant) unase polen za mmea wa kiume (male pant), polen huwa ni kama unga zinafikia mmea wa kike kwa upepo, kuhamishwa na wadudu, ndege, n.k. zikifikia mmea wa kike kuna mbegu zitaanza kuota.

hivyo ili bangi isiwe na mbegu inabidi mkulima apambane sana shambani kuzuia pollen isifikie mmea wa kike, yaani inabidi autunze sana mmea wa kike azuie pollen za mmea wa kiume zisifike.

Bangi inavyoota ikizuiwa kuzalisha mbegu matokeo yake mmea unaweka nguvu zote kuzalisha kilevi, huzalisha maua makubwa zaidi yenye kilevi pure, hii ndio bangi inayokuwa na viwango na salama kwa afya.

Huku Tanzania bangi inapandwa msituni inaachwa ijiotee bila uangalizi inasubiriwa kuvunwa tu, ni lazima ukute ina mbegu, huwezi vuta moja ndio maana unawaona watu wanazichambua kwenye vihanja kutoa mbegu na bado huwa kuna chembechembe zisizoonekana zitabaki,

mbegu hutolewa sababu zinafanya kichwa kiume, zinapunguza nguvu za kiume, zikivutwa zinapasuka kwa sauti kali zikiangukia kwenye nguo zinatoboa, hufanya macho yawe mekundu zaidi kuliko bangi isiyo na mbegu, pia huwa zinaathiri mishipa ya ubongo.

Halafu kuna huu ushamba mwengine unaoonyesha wazi watanzania wanaovuta hawajui hata elimu ya mimea, mtu anasifia "hili ni ganja dume, ni kitu original", hawana hata elimu kujua kwamba sehemu ya kiume ya mmea kazi yake ni kuzalisha polen sio maua yanayovutwa, sehemu pekee inayovutwa ni maua yanayozalishwa na upande wa kike wa mmea.

Bangi ya Tanzania ipo hivi, unaweza kuona hizo mbegu zilivyojaa,

View attachment 2952253

Bangi isiyo na mbegu hii hapa

View attachment 2952255
Ila ndio bhangi kali kuliko zote
 
Back
Top Bottom