Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Subiri wenye bangi yao waje mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Skunk na Cha Arusha nani noma?Wewe kama bangi imekukataa basi kaa pembeni tuache sisi wazee wa skanka, cha arusha n.k tumoke tupate stimu za kuwalamba dada zako wazuri.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee unapenda Dru au mo erHakuna unachojua kuhusu bange we bado mdogo sana
Sk oG[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mzee unapenda Dru au mo er
Nimesikitika sana.Ni kwamba Kuanzia miaka ya 1970 bangi inayolimwa haina mbegu, ni huku Tanzania na nchi nyingi Africa bado tupo gizani, ukitaka kuniamini watanzania hawajui chchote kuhusu hili ukiwajuza watakwambia "huwezi kutuambia chochote kuhusu bangi, Cha Arusha ndio chenyewe na hakuna bangi isiyo na mbegu", ni wabishi vibaya mno.
Likiwa linampigisha blow J ya kutosha linagalauka tu kupanuapanua midomoKwahiyo huu uzi umeandika kwa nguvu ya bangi jike?? 😜
Africa my mother landHivi kati ya america na Africa lipi bara lenye mbegu halisi na asili ya mazao!!?
Hapahapa LupasoHiyo unayosifiwa ya kwa "capaccino" ni ya wapi?
Bangi ya siku hizi wanaichanganya na mavitu ili kuiongezea utamu matokeo yake wengi inawachukua mazima. Nahisi wanafanya hivyo kwa sababu haina nguvu au watumiaji wamekubuhu, vichwa vimeshakuwa vigumu.
Mimi siyo mtumiaji lakini.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] itabidi unipe ramni zinapatikana wapiSk oG