Aina ya magorofa kwa kila wizara katika mji wa serikali Dodoma ndio utaamua muonekano wa mji huo wa serikali

Aina ya magorofa kwa kila wizara katika mji wa serikali Dodoma ndio utaamua muonekano wa mji huo wa serikali

Ni matumizi mabaya ya akili kujenga makao makuu ya serikali na ofisi zote za Wizara na idara sehemu moja!
Huko tuendako tutakuja jutia haya maamuzi...
Hawakujifunza pale kila ofisi ya serikali kuwa posta
 
Kwanza pawepo na maji safi na salama ya kutosha, hayo magorofa yakijengwa bila maji kuwepo hayatakuwa na maana.
Mkuu, hivi chadema mmewahi kiwanja maeneo hayo kwa ajili ya kujenga ofisi ya makao makuu ya chama?
 
Legacy kubwa ya Rais Magufuli ni kifungo cha Sabaya. Kufungwa kwa Sabaya miaka 30 jela, naye akieleza kuwa yote aliyokuwa akifanya aliagizwa na Rais Magufuli, ni sawa na kusema marehemu amehukumiwa miaka 30 jela.
 
Back
Top Bottom