N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Oct 16, 2021 #21 Jp Omuga said: Ni matumizi mabaya ya akili kujenga makao makuu ya serikali na ofisi zote za Wizara na idara sehemu moja! Huko tuendako tutakuja jutia haya maamuzi... Click to expand... Hawakujifunza pale kila ofisi ya serikali kuwa posta
Jp Omuga said: Ni matumizi mabaya ya akili kujenga makao makuu ya serikali na ofisi zote za Wizara na idara sehemu moja! Huko tuendako tutakuja jutia haya maamuzi... Click to expand... Hawakujifunza pale kila ofisi ya serikali kuwa posta
S Salary Slip Platinum Member Joined Apr 3, 2012 Posts 49,390 Reaction score 152,301 Oct 16, 2021 Thread starter #22 Opportunity Cost said: Dom 👇 View attachment 1975300 View attachment 1975301 View attachment 1975302 View attachment 1975303 Click to expand... Wakijenga hivi watakuwa wamechemka.
Opportunity Cost said: Dom 👇 View attachment 1975300 View attachment 1975301 View attachment 1975302 View attachment 1975303 Click to expand... Wakijenga hivi watakuwa wamechemka.
UmkhontoweSizwe Platinum Member Joined Dec 19, 2008 Posts 9,454 Reaction score 8,894 Oct 16, 2021 #23 denooJ said: Kwanza pawepo na maji safi na salama ya kutosha, hayo magorofa yakijengwa bila maji kuwepo hayatakuwa na maana. Click to expand... Mkuu, hivi chadema mmewahi kiwanja maeneo hayo kwa ajili ya kujenga ofisi ya makao makuu ya chama?
denooJ said: Kwanza pawepo na maji safi na salama ya kutosha, hayo magorofa yakijengwa bila maji kuwepo hayatakuwa na maana. Click to expand... Mkuu, hivi chadema mmewahi kiwanja maeneo hayo kwa ajili ya kujenga ofisi ya makao makuu ya chama?
Mfikirishi JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 8,939 Reaction score 10,403 Oct 16, 2021 #24 nguvu said: Hawakujifunza pale kila ofisi ya serikali kuwa posta Click to expand... Hawa kujifunza hadi waone madhara!!
nguvu said: Hawakujifunza pale kila ofisi ya serikali kuwa posta Click to expand... Hawa kujifunza hadi waone madhara!!
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Oct 17, 2021 #25 Ngoja tuone...
H Hamatan JF-Expert Member Joined Nov 10, 2020 Posts 3,197 Reaction score 7,677 Oct 17, 2021 #26 Legacy kubwa ya Rais Magufuli ni kifungo cha Sabaya. Kufungwa kwa Sabaya miaka 30 jela, naye akieleza kuwa yote aliyokuwa akifanya aliagizwa na Rais Magufuli, ni sawa na kusema marehemu amehukumiwa miaka 30 jela.
Legacy kubwa ya Rais Magufuli ni kifungo cha Sabaya. Kufungwa kwa Sabaya miaka 30 jela, naye akieleza kuwa yote aliyokuwa akifanya aliagizwa na Rais Magufuli, ni sawa na kusema marehemu amehukumiwa miaka 30 jela.