Eli Cohen
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 4,460
- 13,715
Siku hizi hakuna cha inspiration za bibi titi mohamed.
Siku hizi unakutana na mwanamke mwenye mafanikio na alama katika taifa lakini njia ya kufika kwake ilikuwa kujipost uchi uchi mtandanoi, kuishi kwa scandal, kulamba pipi kijiti za wakubwa, kuhongwa na wanaume za watu then kupata connection ndani ya chama na bwashee wake.
Siku hizi kibinti cha miaka 14 kinajiita " "boss lady" kwa maana tu idol wake ndivyo anavyojiita ila ndio hivyo lazima apoteze marinda, alambe koni weee, awe spoiled na fast life ya mjini, sasa ndio hivyo kwa bahati mbaya anaweza asifikie hatua kubwa, atakacho ambulia ni kuitwa "cha wote mtaani" na kukuua wewe kwa presha baada ya kuleta mimba ya pili nyumbani na aliempa hamjui.