Aina za ma Ex

Aina za ma Ex

Ex mzazi mwenza Jana kanilaani vibaya kuwa nisahau kuhusu yeye na mtoto tuliyempata.Kisa na mkasa ni Ada ya mtoto.Mi nimemwambia kuwa now mambo yangu sio mazuri kabisa so hata hiyo ada nitamdanganya kuipata make nko na majanga yangu kibao.Basi nimrpewa laana balaa,Sasa nikajiuliza Mimi ndo nilimsomesha yeye ili aje apate kazi na mwenyezi mungu kamjalia kapata kazi na kaolewa na mtu mwingine nami nilibless.Sasa kama ningekuwa simjali ningekubali kumlipia ada na matumizi yake yote?.Nimebaki nimechoka akili wallahi.
Duh pole mkuu. Ulimsomesha na ameshasogea sema mda mwengine wanawake ndo hivyo tena tunaonaga ni kama vile mnatunyima tu. Sijawahi ku experience u single mother wala siutamani ila mwenzio anadhani unazo na unamnyima. Hasa kama umeoa na una watoto anaona mbona wa kwako hawakwami. Mtayamaliza tu
 
Vichenchi alikua navyo ndio na ndo vilivyokua vinampa kiburi. Mi nlikua nafurahi tu kuwa nae ila nikaona madoido yanazidi na hapo hata kumpa sijampa ebooo nikaanza kuruka mimi
Kabla nanga haijatua. Sikubali jumba bovu linidondokee mimi🤣 ila utoto raha af ye alikua mkubwa. Kanipigia eti mbona hupokei simu zangu nikamwambia mi naona safari yetu iishie hapa. Acha nikazane na masomo hata kwaheri sikutoa🤣 ila sababu ni kuvimbaaa. Boya alikua anavimba nikaona hapa kabla sijakolea acha niruke
Afu nimegundua kitu. Maex ambao hamjapeana wala haiumi jamani. Mi ndo maana sina maumivu..najionea fresh tu. Aliyeniacha abarikiwe, niliyemuacha pole sana. (Najua msomaji utajiuliza kichwani..eeh ivo ivo ulichoelewa)
 
Najibu swali la nyongeza. Nitajisikia vizuri maana sina ex nilieachana nae vibaya..better me. Ni vile niliona hatuendani katika mitazamo, mawazo,tabia zetu...ukishamfahamu mtu kwa muda unajua tu hapa ndipo na hapa sipo. So wote kwa hekima niliwaambia tu ukweli ama nao walijikataa kitaratibu.

Sijawahi kuwachukia hata mmoja wao zaidi hata nisikie wameoa na wana mafanikio nitawafurahia. Ex sio uadui, ex ni mtu ambae hakupangwa kuwa nawe in this life maybe the after life huko. Na ikitokea nimealikwa harusi natia timu kwa moyo mweupe. Sote ni watoto wa Mungu..no time for hate or resentment..life is too short to hate people. Shout out to all my exes. One love y'all...
Huyu ni mimi kabisa, good enough sometimes hata tunaweza piga story kidogo kiroho safi kabisa.

Sijawahi achana na mtoto kwa kugombana ila wote hujikuta tu time imeamua kutupa utofauti then we break.
 
Afu nimegundua kitu. Maex ambao hamjapeana wala haiumi jamani. Mi ndo maana sina maumivu..najionea fresh tu. Aliyeniacha abarikiwe, niliyemuacha pole sana. (Najua msomaji utajiuliza kichwani..eeh ivo ivo ulichoelewa)
Eeh haviumi. Ila kama alikunyanduaaa ndo unatamani hata ukamkabe kwanza ndo muachane. Si ndo maana na jeuri ya kuruka unakua nayo.
 
Vichenchi alikua navyo ndio na ndo vilivyokua vinampa kiburi. Mi nlikua nafurahi tu kuwa nae ila nikaona madoido yanazidi na hapo hata kumpa sijampa ebooo nikaanza kuruka mimi
Kabla nanga haijatua. Sikubali jumba bovu linidondokee mimi🤣 ila utoto raha af ye alikua mkubwa. Kanipigia eti mbona hupokei simu zangu nikamwambia mi naona safari yetu iishie hapa. Acha nikazane na masomo hata kwaheri sikutoa🤣 ila sababu ni kuvimbaaa. Boya alikua anavimba nikaona hapa kabla sijakolea acha niruke
Dah ndo nn kubania hivo na hela umekulaa? umetukosea sana mabaharia.. ungemuonjesha pengine ungekua na apartment palm village sahii 😀
 
Ma eksi ninaokumbuka ni wale niliowapanshow nzr tu.

Wa show dhaifu wote si
Afu nimegundua kitu. Maex ambao hamjapeana wala haiumi jamani. Mi ndo maana sina maumivu..najionea fresh tu. Aliyeniacha abarikiwe, niliyemuacha pole sana. (Najua msomaji utajiuliza kichwani..eeh ivo ivo ulichoelewa)
Kama niliosha rungu kwenye mshono wako Wala siumii, tatizo nikikukosa nitateseka. Nitaumwa
 
Kuna maEx wazazi wenza wengine ni wa kuwapiga tuu block haina namna. Kila mtu kaendelea na maisha yake sijui anataka ubaki pale pale kimaisha usisonge mbele.

Roho mbaya na wivu ndio vinatawala, unakuta alishamove on na maisha yake tena kabla yako mambo yake hayajaenda vizuri huko.

Wewe kumove on anahisi unafaidi sana hela yake anayoituma kutunzia mtoto wake mwenyewe wakati ni ya kawaida sana haitoshi hata kununua mchele. Ni kupiga block tuu na kuendelea na maisha bila kutaka hata cent yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Duh pole mkuu. Ulimsomesha na ameshasogea sema mda mwengine wanawake ndo hivyo tena tunaonaga ni kama vile mnatunyima tu. Sijawahi ku experience u single mother wala siutamani ila mwenzio anadhani unazo na unamnyima. Hasa kama umeoa na una watoto anaona mbona wa kwako hawakwami. Mtayamaliza tu
Sometimes naona ili mtoto asome au mwanaume aweze kusomesha vizuri..labda amchukue... akimuona karibu moyo utajaa huruma, ama pia kama vipi ampeleke kwa wazazi wake. Mwanaume kama ulishazaa na mtu na umeoa mwanamke mwingine lazima huku kunakua na majukumu mengi sana.

Sasa ili kurahisisha ndugu, ongea na mkeo mapema sana kwamba bwana mi nitakuja kumchukua mtoto nimlee mwenyewe na naomba uridhie hili. Yaani hii ni ili kurahisisha malezi ya huyu mtoto. Na itabidi mama yake mzazi akubali hasa kama kafika miaka 6. Maana kuna muda wanaume mnakwama sasa kupeleka hela sehemu mbili si rahisi, ni heri mkae na mtoto...hapa ndo pa kusali upate mwanamke anaeweza kulibeba hili suala kwa uzito yani kwa moyo mmoja kabisa.

Na mwanamke huyu itakua nzuri kama nae akiwa single mother(sipend hili jina). Maana ndie atakaeelewa your point. Lakin hata akiwepo ambae sio..kama Mungu kakuchagulia atakuelewa tu. Kuna kizungumkuti dunia ya sasa jamani doh...
 
Na mtoto kwenda kulelewa na bibi inauma. Yani hadi saizi dunia haijajua jinsi ya ku deal na hili swala la wazazi kuachana. Labda siku waandae kipindi wakutane sample za single parents wa kike na kiume waseme kwa waliofanikiwa waliwezaje ku sort. Naonaga kama ndo chanzo hata cha watoto kuharibikiwa. Mtoto anakua na msongo wa mawazo anayobebeshwa na mzazi mmoja
 
Utaunguzane picha nasubiri siku hiyo ya kubeba, mafuta lotion, condom, camera man, kituo kimoja Cha TV, siku hizi tv za YouTube pia zipo. Na begi la kubebea Dola. Atachagua ajaze pesa kwenye begi niondoke au apigwe miti ya nyuma mamamae zake yule
Akinaswa atakoma mineno tu kama bastola je akidakwa. Akishindwa kujaza midolari wakati mkimlotion mwekeeni wimbo wa defao ili akatikege vizuri.

SALANOKI
 
Kuna maEx wazazi wenza wengine ni wa kuwapiga tuu block haina namna. Kila mtu kaendelea na maisha yake sijui anataka ubaki pale pale kimaisha usisonge mbele.

Roho mbaya na wivu ndio vinatawala, unakuta alishamove on na maisha yake tena kabla yako mambo yake hayajaenda vizuri huko.
Wewe kumove on anahisi unafaidi sana hela yake anayoituma kutunzia mtoto wake mwenyewe. Ni kupiga block tuu na kuendelea na maisha bila kutaka hata cent yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Dada sikujui my dear lakin am sorry kama nitakukwaza. Hii sio hekima kabisa. Nikwambie kitu...wewe ni mzazi. Haibadiliki. Kama mlishakosana wewe na aliekuwa mwenzi wako ni nyinyi wawili..lakin kuna kiumbe cha Mungu mnatakiwa mkilee.

Kupigana block haibadilishi kuwa kuna DNA ya baba wa mtoto kwa mtoto. Ukiona mwenzio kapungukiwa unaloweza kufanya ni kumuombea na wewe kufanya mambo yako kama mama wa mtoto. Sijajua wewe ni dini gani.. lakini katika dini yangu msingi wa dini ni upendo and too bad wengi wetu hatunao.

Upendo haujivuni, hauhesabu mabaya, haukosi kuwa na adabu, hauwazi yaliyo ya kwake. Ukiwa na huu upendo hata mtu akukosee vipi, hutamuwazia mabaya. It doesn't change..he is your kid's father mamy.

Naongea ivi from experience..ya ndani..personal kabisa. Nimeishi na mtu aliekuwa amebeba resentment for years juu ya baby daddy wake, tangia abebe hiyo resentment alipatwa na ugonjwa flani. Na mpaka alipokuja kumsamehe yule mwanaume ndipo na ule ugonjwa umepona.

Fanya kazi, sali sijui swali sana, tafuta maarifa, ufahamu, hekima katika vitabu vya dini kwa namna ya co-parenting, na pia kuwa na mipaka baina yenu. But dont bear grudge...kama nitakuwa nimekukwaza please am sorry madam.
 
Unaendelea kuwasiliana na ex ili ugundue nini? mkiachana kila mtu ashike njia yake,ex anaweza kua adui kwako na akakufanyia kitu kibaya sana katika maisha yako,kwangu mimi ex hua hana thamani wala hana nafasi tena kwangu.
 
Na mtoto kwenda kulelewa na bibi inauma. Yani hadi saizi dunia haijajua jinsi ya ku deal na hili swala la wazazi kuachana. Labda siku waandae kipindi wakutane sample za single parents wa kike na kiume waseme kwa waliofanikiwa waliwezaje ku sort. Naonaga kama ndo chanzo hata cha watoto kuharibikiwa. Mtoto anakua na msongo wa mawazo anayobebeshwa na mzazi mmoja
Kweli dada..point hii. Kuna bomu linatengenezwa hapa ahemmm.
 
Kuna maEx wazazi wenza wengine ni wa kuwapiga tuu block haina namna. Kila mtu kaendelea na maisha yake sijui anataka ubaki pale pale kimaisha usisonge mbele.

Roho mbaya na wivu ndio vinatawala, unakuta alishamove on na maisha yake tena kabla yako mambo yake hayajaenda vizuri huko.
Wewe kumove on anahisi unafaidi sana hela yake anayoituma kutunzia mtoto wake mwenyewe wakati ni ya kawaida sana haitoshi hata kununua mchele. Ni kupiga block tuu na kuendelea na maisha bila kutaka hata cent yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ushamba na roho ya kutu, kwan si anahudumia damu yake au anahudumia paka?
 
Sometimes naona ili mtoto asome au mwanaume aweze kusomesha vizuri..labda amchukue... akimuona karibu moyo utajaa huruma, ama pia kama vipi ampeleke kwa wazazi wake. Mwanaume kama ulishazaa na mtu na umeoa mwanamke mwingine lazima huku kunakua na majukumu mengi sana.

Sasa ili kurahisisha ndugu, ongea na mkeo mapema sana kwamba bwana mi nitakuja kumchukua mtoto nimlee mwenyewe na naomba uridhie hili. Yaani hii ni ili kurahisisha malezi ya huyu mtoto. Na itabidi mama yake mzazi akubali hasa kama kafika miaka 6. Maana kuna muda wanaume mnakwama sasa kupeleka hela sehemu mbili si rahisi, ni heri mkae na mtoto...hapa ndo pa kusali upate mwanamke anaeweza kulibeba hili suala kwa uzito yani kwa moyo mmoja kabisa.

Na mwanamke huyu itakua nzuri kama nae akiwa single mother(sipend hili jina). Maana ndie atakaeelewa your point. Lakin hata akiwepo ambae sio..kama Mungu kakuchagulia atakuelewa tu. Kuna kizungumkuti dunia ya sasa jamani doh...
Sometimes baby mama anamtumia mtoto kukunyanyasa tu me naipitia hii pia kakataa kunipa nikae nae alaf cha ajabu amemuweka kwa ndugu zake na tuko mikoa tofauti, nataman leo kesho nikuze watoto wasitofautishe mama ila ndo hivo huyo wa kwanza wamemng'ang'ania kwa kisirani mzazi bado hajakubali tushamalizana
 
Akinaswa atakoma mineno tu kama bastola je akidakwa.Akishindwa kujaza midolari wakati mkimlotion mwekeeni wimbo wa defao ili akatikege vizuri.SALANOKI
Huo ukatili 😂.. ila ndo dawa yao wanaokula wake za watu nyambaff!
 
Dada sikujui my dear lakin am sorry kama nitakukwaza. Hii sio hekima kabisa. Nikwambie kitu...wewe ni mzazi. Haibadiliki. Kama mlishakosana wewe na aliekuwa mwenzi wako ni nyinyi wawili..lakin kuna kiumbe cha Mungu mnatakiwa mkilee.

Kupigana block haibadilishi kuwa kuna DNA ya baba wa mtoto kwa mtoto. Ukiona mwenzio kapungukiwa unaloweza kufanya ni kumuombea na wewe kufanya mambo yako kama mama wa mtoto. Sijajua wewe ni dini gani.. lakini katika dini yangu msingi wa dini ni upendo and too bad wengi wetu hatunao.

Upendo haujivuni, hauhesabu mabaya, haukosi kuwa na adabu, hauwazi yaliyo ya kwake. Ukiwa na huu upendo hata mtu akukosee vipi, hutamuwazia mabaya. It doesn't change..he is your kid's father mamy.

Naongea ivi from experience..ya ndani..personal kabisa. Nimeishi na mtu aliekuwa amebeba resentment for years juu ya baby daddy wake, tangia abebe hiyo resentment alipatwa na ugonjwa flani. Na mpaka alipokuja kumsamehe yule mwanaume ndipo na ule ugonjwa umepona.

Fanya kazi, sali sijui swali sana, tafuta maarifa, ufahamu, hekima katika vitabu vya dini kwa namna ya co-parenting, na pia kuwa na mipaka baina yenu. But dont bear grudge...kama nitakuwa nimekukwaza please am sorry madam.
Inahitaji imani ya kipekee kuna wazaz wenza vichomi aisee... but i like the way u make yo resolutions
 
Back
Top Bottom