Aina za ma Ex

Aina za ma Ex

Najibu swali la nyongeza. Nitajisikia vizuri maana sina ex nilieachana nae vibaya..better me. Ni vile niliona hatuendani katika mitazamo, mawazo,tabia zetu...ukishamfahamu mtu kwa muda unajua tu hapa ndipo na hapa sipo. So wote kwa hekima niliwaambia tu ukweli ama nao walijikataa kitaratibu.

Sijawahi kuwachukia hata mmoja wao zaidi hata nisikie wameoa na wana mafanikio nitawafurahia. Ex sio uadui, ex ni mtu ambae hakupangwa kuwa nawe in this life maybe the after life huko. Na ikitokea nimealikwa harusi natia timu kwa moyo mweupe. Sote ni watoto wa Mungu..no time for hate or resentment..life is too short to hate people. Shout out to all my exes. One love y'all...
Yaani mmoja alijifanya ex asieachika nilichomfanyia kikamfanya awe ex kisirani🤣🤣
 
Ni ushamba na roho ya kutu, kwan si anahudumia damu yake au anahudumia paka?
Ni kupiga block tuu mkuu, kama Ex asiyetaka umove on na maisha yako ubakigi vile vile kama mlivyoachana wa nini sasa?? Akihudumia damu yake anahisi na wewe unafaidi huduma labda. Ni block tuu hakuna kubembelezana akiona umuhimu wa kuhudumia bila kuleta choyo na roho mbaya sawa asipoona umuhimu sawa pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sometimes baby mama anamtumia mtoto kukunyanyasa tu me naipitia hii pia kakataa kunipa nikae nae alaf cha ajabu amemuweka kwa ndugu zake na tuko mikoa tofauti, nataman leo kesho nikuze watoto wasitofautishe mama ila ndo hivo huyo wa kwanza wamemng'ang'ania kwa kisirani mzazi bado hajakubali tushamalizana
Pole sana. Nakuelewa mkuu. We need Heaven's intervention kwakweli.
 
Ni kupiga block tuu mkuu, kama Ex asiyetaka umove on na maisha yako ubakigi vile vile kama mlivyoachana wa nini sasa?? Akihudumia damu yake anahisi na wewe unafaidi huduma labda. Ni block tuu hakuna kubembelezana akiona umuhimu wa kuhudumia bila kuleta choyo na roho mbaya sawa asipoona umuhimu sawa pia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu wa hivo haja move on bado anakutaka labda so anakunyanyasa kisaikolojia ili uwe submissive
 
1. Kuna Ex anakumbuka shoo zako kali and vice versa
2. Kuna Ex ambae umemzidi mume wake kipato na status and vice versa
3. Kuna Ex amemove on na Ex ambae amegoma kukubali matokeo.
4. Kuna Ex uko nao Mji mmoja na Ex wako miji ya Mbali.
5. Kuna Ex Alikusaliti yeye na Ex ulimsaliti wewe.
6. Kuna Ex anajuta kupoteza na Kuna Ex hana hata chembe ya kujutia
7. Kuna Ex handsome/mcute na wale wa kawaida.
8. Kuna Ex Malaya Malaya na Ex mwaminifu.
9. Kuna Ex omba omba wa pesa sanaa, na Kuna Ex haombi pesa
10. Kuna Ex wife material na Kuna Ex hana sifa za kuwa mke kabisa.

Nimechoka wako kama 50 hivi ntarudi kuendelea na list yao

Wadiz na orodha ya Ma Exs
 
Wadiz mzee wa Ex wa kushato 😁

Namba 1 ndo wale Ex asioachika ukiwa na show kali asee lazima akugande kama ruba coz hapati mbadala
 
Wadiz mzee wa Ex wa kushato 😁

Namba 1 ndo wale Ex asioachika ukiwa na show kali asee lazima akugande kama ruba coz hapati mbadala
Kamanda hio no 1 iko katika tafsiri Pana, there are those that are sex fanatics, na yeye anapenda radha mtambuka, the variety seekers can be so cheap at times, their availability is assures surely all the time, those that have had their sex fantasies with you.
 
Damn right, ila radha mtambuka ndo ipi hiyo mkuu msaada pls 😁

Variety seekers are the worst, wanagawa kama pipi.
 
Sijui ndo nna huruma Sana au vipi,
Mi sijuagi kabisa kumuacha mwanamke,
Naweka akiba Kuna kesho na keshokutwa.
Nachofanya Ni kumpunguzia tu mawasiliano
Maex nilio nao % kubwa wamekua Ni marafki
Tuletee visa vya majay jamani kitambo huleti
 
Namba moja kama Ex wangu ameolewa lakini nikipiga simu moja tu huy hapa nambebaga safar zangu za kikazi maana yeye ni muajiriwa Halmashaur fulani mkoan dodoma uwa anamuaga mme wake naenda kwenye semina bas namla sana na mimba zangu ametoa nying sana.
Sio vizuri hivyo ndugu..wanawake ni wadhaifu sana, sisi wanaume tunapaswa kutumia akili zaidi kuliko hisia, huyo ni mke wa mtu hata kama unajua ni mdhaifu kwako mpotezee tu...itakuwa busara sana.Kumpigia mwanaume mwenzio sio afya kabisa..demu angekuea hajaolewa ingekuwa haina uzito....

Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom