Aina za ndevu kwa wanaume na tabia zao

Za kwangu Hakuna hapa.
 
kuna aina flani ya ndevu kama kipilipili huwa wanazo walevi wa pombe za kienyeji! kama za Kingwendu
 
Huwa nanyoa midevu yote kwahiyo sina mtindo wowote kati ya hizo ulizotaja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…