Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1.Ndevu mzuzu
![]()
Ndevu hizi wanazo wanaume wengi wanaoishi uswahilini.
Mara nyingi wenye ndevu hizi hupendelea sana kwenda kwenye "MINUSO" wanakula sana ubwabwa na pia kwenye vijiwe vya kahawa huwakosi.
2.Ndevu mchongoma
![]()
Wenye ndevu hizi ni wale walioishi enzi za ukoloni.
Ni wakali san kwenye familia zao ,hasa kwa mabinti na wanapatikana sana maeneo ya ushuani.
Wanapenda kufuga mbwa na getini wanaandika "Kuna mbwa wakali"(Huyu baba angu kabisa)
3.Ndevu mviringo
![]()
Kwa jina lingine zinajulikana kam "O".
Wenye ndevu hizo wana bahat sana ya kupendw na "Mademu"
Wengi wao wanapatikana Dar Na kilimanjaro.
4.Ndevu kauzu
![]()
Wenye ndevu hizi wanajifanya kila kitu wanakijua .
Wanapenda sana mademu.
Na ni rahisi sana kufumaniwa .
Watu wa simiyu wanasifika san kwa kuzifuga.(Hawa wapo wengi jf wakiongozwa na Kaka angu Gudume)
Demiss(Cha mdeko)
thubutu labda umfuate bila nguo..ndio atakuelewaUwiiii nitamuomba afungue tunguli alizonilogea
#3
3: Wakati wa denda warembo huzinyonya! [emoji182] [emoji182] [emoji182]
Sana mnoUnapenda mnuso
Poa! Kweli si kweli?Mambo
Nimekutumia Pm[emoji28] [emoji12]Aina niipendayo sijaiona hapo
Imepitia wapi na mie nimeshafungaNimekutumia Pm[emoji28] [emoji12]
Umekumbushwa vitu vingi! Huyo ndiye Demiss.Mambo
Haha me hayo mambo sijui bhana...umejifunza lini kuita bae??Umekumbushwa vitu vingi! Huyo ndiye Demiss.
Bae mbona umenikaushia bhana!
Nimejifunza kutoka chit chat. Bae![emoji2] [emoji2] [emoji2]Haha me hayo mambo sijui bhana...umejifunza lini kuita bae??
[emoji3] [emoji3] haya bhanNimejifunza kutoka chit chat. Bae![emoji2] [emoji2] [emoji2]
Huna hata sharubu? Mustachi?Tusio na Ndevu kabisa au tusiopenda Kufuga Ndevu unaweza ukatuelezeaje Mkuu?