Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 219
Tofauti kidogo na leseni Kundi B Uombaji wa leseni Kundi A unahitaji taarifa nyingi zaidi.
Kwenye Thread hii nimekuandikia Taarifa zinazohitajika wakati wa kuomba leseni Kundi A.
1. Taarifa Za Directors
Hapa utatakiwa uwe na taarifa zote za directors wa Kampuni husika, NIDA namba, tarehe za kuzaliwa, majina yao yote, namba za simu na emails.
2. Taarifa Za wanahisa/partners
Taarifa za wanahisa zote zinahitajika kwa idadi yao.
Utambulisho wa utaifa, majina, namba za simu, emails na makazi.
3. Taarifa Za Biashara
Hapa utatakiwa kujaza taarifa zote za biashara husika, taarifa kama Aina ya biashara, category ya biashara, taarifa za leseni ya nyuma (kama ipo) n.k
4. Ofisi kuu ya Kampuni
Hapa ni lazima utatakiwa kuhakikisha unajaza taarifa za ofisi ya Kampuni zitakua wapi.
Na uta upload leese agreement ku verify kwamba ni kweli Kampuni itafanya kazi zake sehemu fulani.
5. Taarifa za TRA
Hapa utatakiwa kujaza TIN namba za Kampuni au biashara husika unayoiombea leseni.
Wakati wa kujaza taarifa zote hizi utatakiwa uwe na documents hizi;
• Vitambulisho vya NIDA, vya wanahisa/partners na directors
• TIN certificate
• Leese agreement na
• Certificate of Incorporation of a company.
NB: Ukikosa Moja ya taarifa au documents tajwa hapo, system itakukatalia kuomba leseni.
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe kusajili biashara leseni na Kampuni.
Kama unapenda Tips kama hizi za Sheria na biashara usiache Kuni follow.
Your Favorite Lawyer.