Aina za ujasiriamali zinazoweza kumtoa kijana kimaisha

ASANTE kwa kuongezea
 
Yah kwasababu watakuwa wanauza ujuzi wao kujipatia kipato
Mfano wanaweza kuchora ramani na kuziuza, kutengeneza thamani na kuziuza na wanaweza kutumia ujuzi wao kufanya kazi na kupata pesa pia
Hiyo ni biashara, ubunifu ndo kila kitu
 
Ukiona biashara hafanyi mo,bakharesa, au wahindi,au waarabu au wachaga, au wakinga.......achana nazo hazina faida.....wapi umeona wachaga wanafuga sungura au kuku,wapi umeona wahindi wanauza mkojo WA sungura.....mwenye akili amenielewaaaa
Umewasahau na watutsi, Wa tigray wa Ethiopia Mana hao ndo mfalme yule alimtembelea Suleiman akatiwa mimba ndo kizazi Chao,wapo wakikuyu, Wahausa ,Wa Igbo, wamashona kabila la Mugabe,.
Usilete sampo ndogo mkuu.
Pia Ile Koo ya jamaa wa magari ya Tata ya wahindi,
Kuna wa welish ama wa Scottish pia Kuna wale waroma wa Italy sijui wanatokea jiji gani ivi.
Hebu nikumbushe
 
Wewe ulichoandika ni faida ya hizo bidhaa kwa matumizi ya binadamu na sio namna hizo bidhaa zinavyoweza kumpatia faida kifedha mjasiriamali
 
Wewe ulichoandika ni faida ya hizo bidhaa kwa matumizi ya binadamu na sio namna hizo bidhaa zinavyoweza kumpatia faida kifedha mjasiriamali
Kuna sehemu ya kuongeza hapo kwenye comment kwa faida ya watu wengine
 
Kijiji nimesahau hicho
 
"Biashara zote ni nzuri na zinalipa ukiwa unasimliwa"....MwanaFA-Mhezanian
 
Futa andika tena comment yako mkuu uajiriwe wapi upate pesa ya kila siku au ulimaanisha kila mwezi? Mtu anayelipwa kila siku hajaajiliwa ni part time kwa lugha ya kizaramo ni kibarua
Siyo kweli Mkuu... Sema tu umewekwa utaratibu wa kulipwa mwisho wa mwezi.... Lakini hiyohiyo unayopewa mwisho wa mwezi ukiigawa kwa siku 30 unapata kiasi au bei gani unalipwa kwa siku .. Ukichanganua zaidi unaweza kupata hadi kwa sasa 1, dk 1 au sikunde 1 unalipwa bei gani.
 
Mbona zote zipo kundi moja? Vp kuhusu kupaka rangi kucha, kusuka yeboyebo, kuuza chupi za kike, kuuza vyombo mabezeni, etc. Karanga, popcorn, ice cream, uji, kahawa chungu na kashata, mahindi ya kuchoma, viazi vitamu, mihogo,
Mishkaki, chipsi,
Kukodisha taa za wajasiriamali,
Uwakala? Hii imekufa. Labda
Kuchemsha magimbi, mihogo ya kukaanga, etc.
Upambaji wa magaji, pikipiki na bajaji.
Kupiga ribiti- angalia usinywe gongo.
Kusafisha taa za magari
Ufundi gereji
Kuuza putururu au vumbi- sina hakika nayo.
Kuonesha mpira, kuuza marosti, njegere, nyanya, karoti
Biashara ya mkaa,
Kuosha magari,
Kuuza maua na miti.
Kuingiza nyimbo
Kutengeneza simu.
Ufundi mafriji na ac za majumbani na magari

Zingine zitakuja
 
Asante kwa kunielewesha nimejifunza nafuatilia
 
Futa andika tena comment yako mkuu uajiriwe wapi upate pesa ya kila siku au ulimaanisha kila mwezi? Mtu anayelipwa kila siku hajaajiliwa ni part time kwa lugha ya kizaramo ni kibarua
Sijakuelewa
 
Ukiona biashara hafanyi mo,bakharesa, au wahindi,au waarabu au wachaga, au wakinga.......achana nazo hazina faida.....wapi umeona wachaga wanafuga sungura au kuku,wapi umeona wahindi wanauza mkojo WA sungura.....mwenye akili amenielewaaaa
hahahahaha uwiiiii jf bwana kuna watu wanakuwaga ka wanakusubili nn unacoment
 
Shule nzuri fupi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…