Aina za wake (Type of wives)

soda unayokunywa Aaliyah naomba iwe tamu na ya baridi kabisa, πŸ˜‚πŸ˜‚

Eti afu tatu..? afu tatu inanunua nini sahii Mac Alpho haitoshi hata fungu la mchicha tajiri wangu..!!πŸ˜‚
Sasa kama ikiachwa hela kubwa unaibalance upate ya kupeleka kwenye upatu afu home tunakula mchicha, huoni ni busara ukapewa pesa inayotosha kununua mchicha?πŸ˜‚
 
Sasa kama ikiachwa hela kubwa unaibalance upate ya kupeleka kwenye upatu afu home tunakula mchicha, huoni ni busara ukapewa pesa inayotosha kununua mchicha?πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naomba uwe unaweka pembeni buku ya 'tiki-tiki' tafadhali sana..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…