Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Kaka yangu hana shida ya pesa ndogondogo ya kuhonga 🤣Ila sio kwa kumkausha blood namnahiyo duuh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaka yangu hana shida ya pesa ndogondogo ya kuhonga 🤣Ila sio kwa kumkausha blood namnahiyo duuh!
Sasa kama ikiachwa hela kubwa unaibalance upate ya kupeleka kwenye upatu afu home tunakula mchicha, huoni ni busara ukapewa pesa inayotosha kununua mchicha?😂soda unayokunywa Aaliyah naomba iwe tamu na ya baridi kabisa, 😂😂
Eti afu tatu..? afu tatu inanunua nini sahii Mac Alpho haitoshi hata fungu la mchicha tajiri wangu..!!😂
😂😂😂Sasa kama ikiachwa hela kubwa unaibalance upate ya kupeleka kwenye upatu afu home tunakula mchicha, huoni ni busara ukapewa pesa inayotosha kununua mchicha?😂
Aaà aaaa Usituseme bwana kazi zetu Zina tulipaOngezea
VICHECHE hawa hua wako tayari kutoa tunda hata kwa muuza Sumu za Panya na viroboto,ili mradi tu awe ameonja kila aina ya Ndizi.