Wanakuja mkuu kama vipi weka picha basi kukazia na kuoneshaid wa huu uzi mkuu.kama vip basi sawa tu1. Team picha
Hawa ni matomaso huomba ushahidi wa picha hata kwa Jambo lisilo wezekana
2.Wazee wa mrejesho
Hawa huomba mrejesho hasa pale wanapojua utafeli au kuangukia pua kwenye Jambo lako.
3.Basi sawa
Hawa ni wapuuzi utasikia basi sawa Sasa cjui wanamaanisha nini.hata ukiwaambia kesho nitajinyonga watasema basi sawa.
4. Serious members
Hawa watachangia kwenye uzi wako seriously hawa Ni mature men n women.
Ongezea wengine
Ona huyuWanakuja mkuu kama vipi weka picha basi kukazia na kuoneshaid wa huu uzi mkuu.kama vip basi sawa tu
Sent using Jamii Forums mobile app
bila picha huu uzi ni sawa na kutembea kwa miguu kuanzia Goba mpaka MbagalaDah
Dah aisee
nijitafakari nipo kundi gani😩😩
1. Team picha