KadogooCate
JF-Expert Member
- Dec 16, 2017
- 484
- 1,100
Nilipona mkuu Niko timamu that was in Italy 2 yrs ago
Ungetoa vi picha kwa kila kundi yaani hii movie ingenoga ka ya van damme1. Team picha
Hawa ni matomaso huomba ushahidi wa picha hata kwa Jambo lisilo wezekana
2.Wazee wa mrejesho
Hawa huomba mrejesho hasa pale wanapojua utafeli au kuangukia pua kwenye Jambo lako.
3.Basi sawa
Hawa ni wapuuzi utasikia basi sawa Sasa cjui wanamaanisha nini.hata ukiwaambia kesho nitajinyonga watasema basi sawa.
4. Serious members
Hawa watachangia kwenye uzi wako seriously hawa Ni mature men n women.
Ongezea wengine
Vipi wale wanaowahi je??1. Team picha

Mbona sisi wazee wa ukweli na fact hujatuweka hapo?1. Team picha
Hawa ni matomaso huomba ushahidi wa picha hata kwa Jambo lisilo wezekana
2.Wazee wa mrejesho
Hawa huomba mrejesho hasa pale wanapojua utafeli au kuangukia pua kwenye Jambo lako.
3.Basi sawa
Hawa ni wapuuzi utasikia basi sawa Sasa cjui wanamaanisha nini.hata ukiwaambia kesho nitajinyonga watasema basi sawa.
4. Serious members
Hawa watachangia kwenye uzi wako seriously hawa Ni mature men n women.
Ongezea wengine
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
1. Team picha