Daydream
Member
- Oct 26, 2023
- 58
- 335
Wafuatao ni aina ya wanawake ambao ni lazima uvae condom pindi unapofanya nao mapenzi.
1. Ikiwa ana Tattoo vaa hata Condom tatu kwa pamoja utakuja kunishukuru
2. Kama anakunywa bia hakikisha unavaa Condom
3. Kama anafanya kazi kwenye saluni za kiume/zakike ndugu yangu vaa Condom
4. Kama ni mwanafunzi wa chuo vaa Condom
5. Kama anavaa G-string ndugu yangu vaa Condom acha kucheza na uhai wako
6. Kama ana marafiki wengi wa kiume kuliko wakike nakusihi ndugu yangu vaa Condom
7. Kama ana pete puani na vikuku mguuni ndugu vaa Condom hata kumi kwa pamoja.
8. Kama anaishi peke yake tafadhali ndugu yangu kumbuka Condom.
9. Kama anazima simu yake anapokua na wewe aiseee tumia Condom.
10. Kama yeye ndo wa kwanza kukuvua shati tafadhali jitahidi usisahau Condom.
11. Kama ana nywele fupi zilizopakwa rangi aiseee vaa Condom hata 20
12. Kama anavaa shanga kiunoni aisee Condom lazima
Nadhani tumeelewana