Aina za wanawake ambao lazima utumie condom pindi unapofanya nao mapenzi

Wafuatao ni aina ya wanawake ambao ni lazima uvae condom pindi unapofanya nao mapenzi.

1. Ikiwa ana Tattoo vaa hata Condom tatu kwa pamoja utakuja kunishukuru

2. Kama anakunywa bia hakikisha unavaa Condom

3. Kama anafanya kazi kwenye saluni za kiume/zakike ndugu yangu vaa Condom

4. Kama ni mwanafunzi wa chuo vaa Condom

5. Kama anavaa G-string ndugu yangu vaa Condom acha kucheza na uhai wako

6. Kama ana marafiki wengi wa kiume kuliko wakike nakusihi ndugu yangu vaa Condom

7. Kama ana pete puani na vikuku mguuni ndugu vaa Condom hata kumi kwa pamoja.

8. Kama anaishi peke yake tafadhali ndugu yangu kumbuka Condom.

9. Kama anazima simu yake anapokua na wewe aiseee tumia Condom.

10. Kama yeye ndo wa kwanza kukuvua shati tafadhali jitahidi usisahau Condom.

11. Kama ana nywele fupi zilizopakwa rangi aiseee vaa Condom hata 20

12. Kama anavaa shanga kiunoni aisee Condom lazima

Nadhani tumeelewana
Kama mmekutana jf badoo tinder au tagged aisee vaa rough ryder kabisaaa
 
Kutumia kondomu ni kipaji aisee, siyo kila mwanaume anaweza[emoji28][emoji28][emoji28], wengi humu mtaungana na Mimi!
Oyaaaa hyo kitu ni ngumu sanaaa kubeba tu nnaweza na nnazingatia sana kuwa nazo kimbembe ni kwny kuzitumia aiseee sjui nakwamaga wapi.[emoji25]
 
Noma sana, akishavua Pichu tu mashine inasoman 5G😅😅 unamuandaa kisha unampachikia shaft
 
11. Mwanamke kafupi vaa condom wewe acha kushangaa.

12. Mwanamke anaevaa dera na anaishi mitaa inayonuka mikojo na mavi vaa kiroba condom haimfai huyu.

13. Mwanamke anae msikiliza pastor kuliko wewe huyu nae vaa rambooo.

14. Mwanamke ana kitambi kama baba yake mnywa bia za bure piga na condom.

15. Mwanamke mwembamba kama kijiti huyu mtupie chizi nae aoshe rungu😂
 
Wafuatao ni aina ya wanawake ambao ni lazima uvae condom pindi unapofanya nao mapenzi.

1. Ikiwa ana Tattoo vaa hata Condom tatu kwa pamoja utakuja kunishukuru

2. Kama anakunywa bia hakikisha unavaa Condom

3. Kama anafanya kazi kwenye saluni za kiume/zakike ndugu yangu vaa Condom

4. Kama ni mwanafunzi wa chuo vaa Condom

5. Kama anavaa G-string ndugu yangu vaa Condom acha kucheza na uhai wako

6. Kama ana marafiki wengi wa kiume kuliko wakike nakusihi ndugu yangu vaa Condom

7. Kama ana pete puani na vikuku mguuni ndugu vaa Condom hata kumi kwa pamoja.

8. Kama anaishi peke yake tafadhali ndugu yangu kumbuka Condom.

9. Kama anazima simu yake anapokua na wewe aiseee tumia Condom.

10. Kama yeye ndo wa kwanza kukuvua shati tafadhali jitahidi usisahau Condom.

11. Kama ana nywele fupi zilizopakwa rangi aiseee vaa Condom hata 20

12. Kama anavaa shanga kiunoni aisee Condom lazima

Nadhani tumeelewana
13: Kama ni Mwanachuo hasa vyuo vinavyopatikana Dodoma, Dar, Arusha na Mbeya. Tumia Rough Rider
 
Back
Top Bottom