Aina za wasukuma na kisukuma

wabheja koromba nyanda.
 
Nasikia hawa wadau uwa hawaaminiki, huwezi kupanga nae dili, sasa sijui ni katika kundi lipi?
Kama ni dili haramu... Kweli huwa hawaaminiki...
Lakini Kama ni dili za Kawaida.. They are trustworthy people..
 
W
Nyantuzu hadi wanaleta Wadenmark kuja kuwachukua Video wakilima.

Kabadi na kundi lake wakifanya kazi na kucheza.

wanaume kazini....hapo hata ekari kumi wanazikata kwa siku moja
hiyo inaitwa LUGANDA
 
kweli wadakama wengi wapo tabora,
 
Mr fafanua uposema hakuna masikini kabisa unamanisha nini
Wanyantuzu walio wengi wana vipato vikubwa, ardhi yao ina samani kubwa. Wamezaliana sana hivyo kuifanya ardhi kuwa kitu cha muhimu sana,nyingi za kaya zao zina mifugo na chakula cha kutosha. Hakuna mnyantuzu utakaemfunga jela kwa faini ya milioni moja mahakamani,lazima atailipa tu, ndo viwango vidogo za faini ktk mifumo yao ya kijadi ktk utoaji wa maamuzi. Wana uchumi mkubwa lakini wanaishi kimasikini sana, tajiri anaemiliki ng'ombe elfu 10 wa kinyantuzu anavaa, kula, kulala, hovyo kuliko utegemeavyo. Vivyohivyo na kwa mwenye semi trailer hata 5. Nilimanisha hivyo, kikubwa ni imani za kishirikina na ukale zaidi. Huku bado wana sheria zote za kijadi, mahakama zao (degashida) polisi wao (wasumbantale) na magereza yao (faini au kutengwa) hakuna anayestafu viboko huku hata uwe wa miaka mia, mahakama ikisema fimbo ni fimbo na hata hawagomi. Kuna mengi ya kushangaza kama wewe hujawahi ishi kwenye mifumo ya kiafrika asilia.
 
Kama hujui historia ya wasukuma nenda Bujola ukajifunze cyo kudanganya watu kwenye hii forum. Ulichokiandika siyo sahihi kabisa. Kwanza wanyantuzu siyo wasukuma halisi ni mchanganyiko was wanyiramba na wasukuma. Ndoo maana hata baadhi ya majina wanachangia. Kwa mfano Kuna Mangu MNYANTUZU na Mangu MNYIRAMBA. Kwa taarifa yako lahaja za kisukuma ziko katika makundi manne, 1 Banakiya (wa) mashariki) 2.Banang'weli (wa magharibi) yaani ng'ambo ya ziwa 3. Banasukuma (kaskazini) 4.Badakama (kusini). Hao wanyantuzu Unaowasema wako kwenye kundi na.1 hapo juu.
 
Hapa umenifumba kidogo mkuu. Hawa wanaosalimiana "ng'wadilla" na mwitikiaji anajibu "ng'wadilla, mlimholla" hawa wako kundi gani la Wasukuma?
Maana katika kuelezea kuna wanaosalimiana hiyo salamu niliyotaja, lakini haukuwafafanua kundi lao, bali umefafanua wanaosalimiana "dillo", "madillo" na "gawiza".
Embu naomba kidogo hapo uzame mkuu nielimike.
 
sifa kuu kwa wasukuma ni kutokuwa na siri,wasema ovyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…