Aina za wasukuma na kisukuma

Aina za wasukuma na kisukuma

Sawa ulivyoeleza ila umeacha taja wasukuma walioenda shule kuliko wengine na pia ni wasukuma wepi walioenda kulima mashamba ya katani Tanga na karafuu kule Pemba na kulowea,....hapa simaanishi akina Shbundas
Pemba na Zanzibar kuna wanyamwezi hata kule geza Ulole Kigamboni wapo wengi sana tokea miaka ya 19..
 
Ni kweli wasukuma wapo makundi manne lakini ninayoyajua mimi haha 1.bhana keyaa 2.w
Bha salama., 3.bhana ng'weli 4.bha sukuma, ambao kundi hili limebeba eneo kubwa na hasa maeneo Ya Mwanza,hawa wanyantuzu wano kwenye kundi la mhana kiyaa ambao wanapatikana maeneo ya bariadi, maswa na wadakama hawa wanapatikana ya nzega Kahama mashariki lakini bhana ng'weli hawa wanapatikana maeneo ushirombo yaani bukombe!
Wale wasukuma JEMBE ndiyo wapo chato?hata kule bukoba,mara na singida kidogo wasukuma wapo kibao je?hao nao ni wasukuma gani?
 
Kule Malampaka ambapo wanasema kuna wasukuma washamba zaidi ni Aina gani hao? Wanyatunzu wana sifa nyingi za hovyo na nzuri,sifa nzuri ni wachakarikaji sana na sifa yao mbaya ni washirikina hatari hata Gamboshi ni nyumba yao pia ni wabishi hakuna mfano wanaweza kubishana hata na TV Radio.
 
Wapo wasukuma wazamiaji mikoa mingine ya jirani,pia wapo wasukuma wakulima wazuri na wapo wasukuma wapenda Alibino hao wanaitwaje?
 
Mimi asili yng ni mnyantuzu ila nawachukia sana ni watu ambao ni harsh sana na pia hawana woga wowote kukuua ni jambo la sekunde tu kifupi hawapishani kabisa na wachaga wametanguliza mali mbele ubinadamu baadae kuwa makini na wanyantuzu kukutoa kafara ni easy sana
Ni kweli kwenye kafara wanatisha wengi ni washirikina sana wapo kama wanaijeria.
 
mtoa mada ongezea na hii ili nafsi yako ilizike kabisa, wasukuma wa bariadi ni wachawi kupindukia, wanawake wao ni malaya unaweza gegeda upendavyo na pia roho zao ni mbaya wasiopenda kuona wengine wanafanikiwa mwisho wana hulka ya wizi. in short ni wa kuepuka
uwiiiii umenichekesha mno
 
Na gwajima ni wa wapi wazee na yule dogo wa paul makonda na yeye yuko kundi gan hapo
 
Bariadi baby...all day everyday.

Ikungu in da building.

Sima stand up.

Madale, Isanzu, Somanda, Nkololo....what up!
Hahahaaa, mzee wa ikunguilipu, ng'wankima, Sagida, mwanzoya, Halawa, matongo baby........ [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Gawiza...!!

Lugha ya kisukuma ina lahaja kuu nne; ginantuzu, ginang'weli, ginangw'agala na gidakama. Vivyo hivyo, Wasukuma wamegawanyika katika misingi ya lahaja za lugha ya kisukuma.

1.Bhadakama. Hawa wanapatikana sehemu za mji wa Shinyanga, sehemu za Gahama na sehemu za Igunga na Nzega. Kwa idadi, hawa ndiyo Wasukuma wachache sana. Ni watu wenye aibu, wakimya mno... wana muingiliano na utamaduni wa Wanyamwezi. Pengine hawa ndiyo Wasukuma masikini kuliko aina yoyote ya Wasukuma!

2. Bhanang'weli.
Hawa ni Wasukuma wenyeji wa mikoa ya Mwanza, Geita, na kusini - Magharibi mwa Mkoa wa SIMIYU. Kiidadi, hawa ndiyo Wasukuma wengi sana... katika ongea yao, wana matumizi mengi ya 'shi' kwa mfano, shikolo, shiliwa. Pia hawatumii 'ng'wadila' katika salamu za jioni. Wao hutumia 'gawiza' au 'dillo gawiza' Kwa sababu wanaishi katika strategic areas, wana muingiliano na watu wa makabila mbalimbali. Au tuseme wamemezwa na watu wa kuja. Ukienda Geita wenyeji hawaonekani, labda kukimbiza daladala za baiskeli. Mwanza ndiyo usiseme kabisa.

3. Bhanang'wagalla.
Hawa ni Wasukuma wenyeji wa Wilaya za Meatu, Kishapu na Maswa na sehemu za Igunga. Ukikutana nao ni rahisi mno kuwasikia wakisema, 'yombaga bhahebhu', ong'wawiya, kaaa, aghayaa... ni nadra sana kuwasikia wakisalimia, 'ng'wadila' Wao hufupisha, 'dilla mayu' au dilla bhabha. Majina ya maeneo mengi huanza na Ng'wa. Kwa mfano, ng'wabagimu, ng'wajidalala, ng'wanhuzi... Utajiri wao uko kwenye mifugo.
Vijana wa huko hulizika mapema. Kwa mfano, kama mavuno ya matobholwa, karanga, alizeti na pamba ni mazuri, vijana wa maeneo haya hushinda kwenye ngoma za jadi. Hawajui kusaka ridhiki nje ya maeneo yao, utafikiri wako kisiwani. Wanaotoka nje ya maeneo yao ni wafugaji tu. Wanawake wa huko hupenda kuvaa shanga kiunoni na shingoni ingawa sio wajuzi wa mambo ya Tanga. Wavulana nao huvaa miguuni. Soko la wasichana liko juu sana. Pengine huu ukanda, hasa Meatu, ndiyo unaongoza kwa kutoa mahari kubwa Tanzania nzima.

4.Bhanantuzu /Wanyantuzu
Hawa ni Wasukuma wenyeji wa Wilaya za Bariadi na Itilima. Hawa ndiyo Wasukuma waliotapakaa kila kona ya nchi hii. Na pengine bila ya hawa kabila la Wasukuma
lisingejulikana kwa namna hii. Kisukuma chao hakina 'shi' bali hutumia 'si' kwa mfano, sikolo, siliwa....Jamaa hawa wanajua kuchakalika kutafuta mali. Hawaogopi kitu, hawaogopi mtu. Jamaa hawa ndiyo Wasukuma pekee wanaothubutu kwenda kupora ng'ombe za Wamasaai. Ni Wasukuma wenye dharau na mikogo mingi. Kama unasikia watu wanaopenda utani na masihara, basi hawa ni kiboko. Si unamjua Danni Makanga? Mambo ya ujanja ujanja na upigaji dili, hapa ndipo penyewe. We mwangalie Chenge tu, au hata Cheyo au hata Mbunge Njaru. Utanipa jibu. Wanaume wa huko hupenda kuoa wake weupe. Kama sio mweupe basi awe na sifa za ziada. Michepuko kwa mwanaume ni kitu cha kawaida.

Swala la ni msukuma yupi anaongoza kwa ushamba na ukilaza, halikuwa lengo la utafiti huu.

Mobheja sana.
You have made my day mzee. Napenda sana kujua chanzo cha akili za Wanyantuzu licha ya wao ndio wanaoishi katika eneo kame kabisa kwa Wasukuma ukitoa Bhanang'wagalla.
Hata hivyo, najua Wanyantuzu wana mixer kubwa na wamasai na wadatooga/wataturu, je hiyo ni sababu kubwa, je ardhi yao ina kitu cha ziada katika ardhi zote za kisukuma maana tangu zamani kuna msongamano mkubwa wa watu eneo lote la kuzunguka Bariadi na Maswa.
Je wana akili kuliko wasukuma wa Magu na Busega kwenye samaki? Jaribu kujibu unachofahamu hapo najua siyo vyote utaweza.
Nahene loi, wabheja sana.
 
Mi naona mleta mada umekuja kutangaza mahaba yako na watu fulani wa bariadi ila huku kwa lengo la kutoa historia ya wasukuma, nimesema hivyo kwa sababu umetutajia hapa watu wako akina chenge,njalu na cheo kwani hao ndiyo nembo ya wasukuma? Basi kwa mantiki hiyo bora ungebadilisha tu uzi wako na kuzungumzia zaidi wasukuma wa kinyantuzu ukatupa na sisi wasukuma wa nassa tukajipambanua vyema tulivyo.

Siku nyingine usije na ujinga huu maana kama ni watu wa kutolea mifano wapo waliotangulia kuwa alama ya wasukuma na si hao mabosi wako unakojipendekeza wewe.
Ngosha najua kuna vitu nimeviona unavyo kichwani, pliz hebu tushukie kuhusu wasukuma wa Nassa, tutolee mifano ya wasomi wakubwa wakubwa waliowahi kuwa na nyadhifa serikalini.
Aina hakika kama Nassa inachukua Busega pekee ama pamoja na Magu.
Nduhu tabhu nhamala.
 
mtoa mada ongezea na hii ili nafsi yako ilizike kabisa, wasukuma wa bariadi ni wachawi kupindukia, wanawake wao ni malaya unaweza gegeda upendavyo na pia roho zao ni mbaya wasiopenda kuona wengine wanafanikiwa mwisho wana hulka ya wizi. in short ni wa kuepuka
Acha wivu wako, ongelea mazuri ya upande wenu na siyo kufanya mabaya ya mwenzako yawe kinyume cha ya kwako.
 
Back
Top Bottom