Aina za wasukuma na kisukuma

Well said
Mkuu umejitahidi sana kufafanua mila na desturi za Ntunzu perhaps ni mtu wa huko au ni mtu wa kujifunza sana cultural sphere/anthropology za maeneo flani
 
Nywanhonko ebhe
 
Bariadi baby...all day everyday.

Ikungu in da building.

Sima stand up.

Madale, Isanzu, Somanda, Nkololo....what up!
Majahida, Gidulya, Isanga, Bunamhala, Sanungu, Ngashanda, Matale, Old Maswali, Ng'wakibuga, Nyakabindi, Ngulyati, Gidinda...

Kaya ni kaya duhu...Bhagosha!
 
Wale ambao wakilewa wanaongea kisukuma ata na mzaramo ndio kundi gani?
 
Well said
Mkuu umejitahidi sana kufafanua mila na desturi za Ntunzu perhaps ni mtu wa huko au ni mtu wa kujifunza sana cultural sphere/anthropology za maeneo flani
Niko na mwaka huku, naishi nao. Nawajua.
 
Mambo yote kwetu NG'WELI (Leading Agricultural and mining zone)!
Mimi nimetaja majina ya vijiji ninavyovifahamu kule Unyantuzu na kusema nyumbani ni nyumbani tu. Sasa wewe umekuja na mambo ya kilimo na madini (utafikiri kuwa hayo madini yanawasaidia cho chote; wakati yamegeuka laana ya kimazingira na hata kiuchumi). Sijaelewa lengo lako ni nini. Au umejisahau ukadhani kuwa unamjibu Nyani Ngabu?
 
Uko sahihi kabisa, alipotosha kiasi
 
Hovyo kabisa, kama hujui kaa kimya
 
Umejitahidi sana kwa huo utafiti wako na uchambuzi , kuna kasoro ndogo sana katika uchambuzi wako
 
Kwa nyongeza tu ni kwamba msukuma mnagw,eli asili yake ametokea mwanza kwimba misungwi ngudu nk wote hao walivuka maji wakaingia sengerma busambiro geita buyombe bukoli ndiyo hao walingia biharamulo yaani lusubi yote wasukuma wote hao ni wahamiaji
 

Hahaaa...halafu wewe...inawezekana ukawa ndugu yangu wewe.

Hivi unamjua Christopher Sayi wewe?

Heheheee....
 
Hahaaa...halafu wewe...inawezekana ukawa ndugu yangu wewe.

Hivi unamjua Christopher Sayi wewe?

Heheheee....
Christopher Sayi simfahamu mkuu ila kwenye mnada wa Kidinda pia huwa sikosekani. Nyama sha boche baba!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…