Aina za wasukuma na kisukuma

Sawa ulivyoeleza ila umeacha taja wasukuma walioenda shule kuliko wengine na pia ni wasukuma wepi walioenda kulima mashamba ya katani Tanga na karafuu kule Pemba na kulowea,....hapa simaanishi akina Shbundas
Pemba na Zanzibar kuna wanyamwezi hata kule geza Ulole Kigamboni wapo wengi sana tokea miaka ya 19..
 
Wale wasukuma JEMBE ndiyo wapo chato?hata kule bukoba,mara na singida kidogo wasukuma wapo kibao je?hao nao ni wasukuma gani?
 
Kule Malampaka ambapo wanasema kuna wasukuma washamba zaidi ni Aina gani hao? Wanyatunzu wana sifa nyingi za hovyo na nzuri,sifa nzuri ni wachakarikaji sana na sifa yao mbaya ni washirikina hatari hata Gamboshi ni nyumba yao pia ni wabishi hakuna mfano wanaweza kubishana hata na TV Radio.
 
Wapo wasukuma wazamiaji mikoa mingine ya jirani,pia wapo wasukuma wakulima wazuri na wapo wasukuma wapenda Alibino hao wanaitwaje?
 
Ni kweli kwenye kafara wanatisha wengi ni washirikina sana wapo kama wanaijeria.
 
uwiiiii umenichekesha mno
 
Na gwajima ni wa wapi wazee na yule dogo wa paul makonda na yeye yuko kundi gan hapo
 
Bariadi baby...all day everyday.

Ikungu in da building.

Sima stand up.

Madale, Isanzu, Somanda, Nkololo....what up!
Hahahaaa, mzee wa ikunguilipu, ng'wankima, Sagida, mwanzoya, Halawa, matongo baby........ [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
You have made my day mzee. Napenda sana kujua chanzo cha akili za Wanyantuzu licha ya wao ndio wanaoishi katika eneo kame kabisa kwa Wasukuma ukitoa Bhanang'wagalla.
Hata hivyo, najua Wanyantuzu wana mixer kubwa na wamasai na wadatooga/wataturu, je hiyo ni sababu kubwa, je ardhi yao ina kitu cha ziada katika ardhi zote za kisukuma maana tangu zamani kuna msongamano mkubwa wa watu eneo lote la kuzunguka Bariadi na Maswa.
Je wana akili kuliko wasukuma wa Magu na Busega kwenye samaki? Jaribu kujibu unachofahamu hapo najua siyo vyote utaweza.
Nahene loi, wabheja sana.
 
Ngosha najua kuna vitu nimeviona unavyo kichwani, pliz hebu tushukie kuhusu wasukuma wa Nassa, tutolee mifano ya wasomi wakubwa wakubwa waliowahi kuwa na nyadhifa serikalini.
Aina hakika kama Nassa inachukua Busega pekee ama pamoja na Magu.
Nduhu tabhu nhamala.
 
Acha wivu wako, ongelea mazuri ya upande wenu na siyo kufanya mabaya ya mwenzako yawe kinyume cha ya kwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…