Aina za watu Maofisini

Why ajiBCC?
Kwani kitendo cha kutuma tu hiyo email si email inabaki kwake for years? Au
 
Maofisini nimekutana na mambo mengi ila usnitch unaongoza na mara nyingi unafanywa na watu ambao competence hawana au la wanamuona mtu flani ni threat kwa hiyo kumuondolea credibility inakuwa ni silaha yao ili wasipitwe.

Ila mbaya kuliko yote ni kukutana na managers ambao hawajiamini. Wakikuona ni threat tu, hakuna rangi utaacha ona
 
Pole mchumba, upo taasisi gani? Njoo P.M tujadili jinsi ya kukuhamisha na kukupeleka wizarani 😌
 
Very nice πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Kwa mara ya kwanza leo nimeona uzi wako uloshiba elimu safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…