Eyce
JF-Expert Member
- Mar 16, 2016
- 7,185
- 24,330
Kuwa na roho ya utulivu inahitaji misuli ya akili, imani na kihisia. Hongera kasieNamshukuru Mungu nimestaafu salama.
Nimekutana na rangi zote hizo, bado namshukuru Mungu kwa kunipa utulivu kabla ya kuchukua hatua na hatimaye nikawaachia manyoya.