Aina za watu Maofisini

Aina za watu Maofisini

# 1
Nikimshauri aanze kuwa anatuma reports na kisha anaji BCC kwenye email yake binafsi ambayo sio ya kazini.
#8
Nilimshauri aanze kutunza records kwenye note book yake kwa kila tukio na tarehe husika hadi muda. Hii ilimsaidia sana wakiwa kwenye vikao vya kila robo mwaka kuelezea yale ambayo walipanga kuyatimiza na boss wake, wakati huo boss akiwa muoga na akikosa majibu huku akijikanyaga.
Why ajiBCC?
Kwani kitendo cha kutuma tu hiyo email si email inabaki kwake for years? Au
 
Maofisini nimekutana na mambo mengi ila usnitch unaongoza na mara nyingi unafanywa na watu ambao competence hawana au la wanamuona mtu flani ni threat kwa hiyo kumuondolea credibility inakuwa ni silaha yao ili wasipitwe.

Ila mbaya kuliko yote ni kukutana na managers ambao hawajiamini. Wakikuona ni threat tu, hakuna rangi utaacha ona
 
Huyo ndo mimi
Sababu mwanzon nilijidai mtu wa watu yaliyonikuta Mungu anajua
Nikaishia kupelekwa mbwinde huko
Nimehamia jijini kwa Sasa ,aiseeh sina mazoea kabisa,salamu,kazi,naenda na lunch yangu,time ikiisha nasign off nasepa🤣🤣sema wameanza kuniogopa,ila sijali najilinda ,sitaki yaliyonikuta yajirudie🙏
Pole mchumba, upo taasisi gani? Njoo P.M tujadili jinsi ya kukuhamisha na kukupeleka wizarani 😌
 
Kama unafikiri kufanya kazi kwa bidii tu kunatosha.. utashangaa unafeli kila siku kwenye maofisi ogopa sana watu, hata uwe mchapakazi vipi, waelewe watu kwanza ili uweze kufaulu.

Hizi ni baadhi ya aina za watu.

1. Machawa
Hawa kazi Yao kujipendekeza na kuwachafua wengine ishi nao Kwa tahadhari.

2. Wabaguzi
Aina hii nayo kuwa nayo makini
Wanaweza kukubagua kisa Tu mgeni au kijana wenyewe wakongwe..au kabila hata dini n.k.. . sometimes ubaguzi unaweza kuwa chanzo chake ni wewe kuja kum replace alietoka ambae alikuwa 'kipenzi chao"..

3. Wanafamilia
Pay attention...ofisi nyingi zina wanafamilia na huwezi jua sometimes Hadi uambiwe...unaweza kuta hawasemeshani lakini kwenye kulinda maslahi yao wanakugeuka.. wengine majina tofauti na hata hawafanani kumbe ndugu kabisa...

4. Wanafamilia bandia
Unawajua wale wanaoitana shemeji ...au mkwe.... maofisini..au hata wifi au Mama...au mjomba?

Hizi familia bandia zina kawaida ya kujenga bond yenye nguvu ajabu...ukigusa mmoja Tu umegusa wengine...kaa nao Kwa tahadhari.

5. Wazee wa dili
Hawa nao kaa nao Kwa tahadhari... unaweza fikiri unamripoti mtu Kwa wizi kumbe unapopeleka ripoti Wana mgao wao.....ishi Kwa tahadhari sometimes Bora kujifanya husikii kitu ,huoni kitu.

6. Wazembe
Hawa jitahidi uwajue mapema na uishi nao Kwa tahadhari mapema sana... wengine kama "wachawi"..uzembe atafanya yeye...Kesi anapata mwingine.....

7. Vimbelembele kwenye shughuli
Hakikisha unaenda kwenye misiba au harusi au sherehe za ofisi halafu watazame wale vimbelembele wa kwenye shughuli. Kaa nao Kwa umakini mno. Wengi hutumia hizi shughuli kujiweka close na bosses na Ku manipulate their position and power. Sehemu yeyote yenye emotional issues. Hawa vimbelembele ni watu hatari mno mno..kaa Kwa tahadhari.

8 Coward leaders
Sometimes unaweza jikuta unaumia simply sababu kiongozi wako ni muoga au hawezi ongea vizuri, jitahidi uepuke Viongozi waoga. Bora ujisimamie mwenyewe ikibidi.

.. mengine mtajazia
Very nice 👍👍👍
 
Kama unafikiri kufanya kazi kwa bidii tu kunatosha.. utashangaa unafeli kila siku kwenye maofisi ogopa sana watu, hata uwe mchapakazi vipi, waelewe watu kwanza ili uweze kufaulu.

Hizi ni baadhi ya aina za watu.

1. Machawa
Hawa kazi Yao kujipendekeza na kuwachafua wengine ishi nao Kwa tahadhari.

2. Wabaguzi
Aina hii nayo kuwa nayo makini. Wanaweza kukubagua kisa Tu mgeni au kijana wenyewe wakongwe..au kabila hata dini n.k.. . sometimes ubaguzi unaweza kuwa chanzo chake ni wewe kuja kum replace alietoka ambae alikuwa 'kipenzi chao"..

3. Wanafamilia
Pay attention...ofisi nyingi zina wanafamilia na huwezi jua sometimes Hadi uambiwe...unaweza kuta hawasemeshani lakini kwenye kulinda maslahi yao wanakugeuka.. wengine majina tofauti na hata hawafanani kumbe ndugu kabisa...

4. Wanafamilia bandia
Unawajua wale wanaoitana shemeji ...au mkwe.... maofisini..au hata wifi au Mama...au mjomba?

Hizi familia bandia zina kawaida ya kujenga bond yenye nguvu ajabu...ukigusa mmoja Tu umegusa wengine...kaa nao Kwa tahadhari.

5. Wazee wa dili
Hawa nao kaa nao Kwa tahadhari... unaweza fikiri unamripoti mtu Kwa wizi kumbe unapopeleka ripoti Wana mgao wao.....ishi Kwa tahadhari sometimes Bora kujifanya husikii kitu ,huoni kitu.

6. Wazembe
Hawa jitahidi uwajue mapema na uishi nao Kwa tahadhari mapema sana... wengine kama "wachawi"..uzembe atafanya yeye...Kesi anapata mwingine.....

7. Vimbelembele kwenye shughuli
Hakikisha unaenda kwenye misiba au harusi au sherehe za ofisi halafu watazame wale vimbelembele wa kwenye shughuli. Kaa nao Kwa umakini mno. Wengi hutumia hizi shughuli kujiweka close na bosses na Ku manipulate their position and power. Sehemu yeyote yenye emotional issues. Hawa vimbelembele ni watu hatari mno mno..kaa Kwa tahadhari.

8 Coward leaders
Sometimes unaweza jikuta unaumia simply sababu kiongozi wako ni muoga au hawezi ongea vizuri, jitahidi uepuke Viongozi waoga. Bora ujisimamie mwenyewe ikibidi.

.. mengine mtajazia
Kwa mara ya kwanza leo nimeona uzi wako uloshiba elimu safi
 
Back
Top Bottom