Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Mwanzoni niliamini wewe ni miongoni mwa watu GT Sana lakini nikaja kugundua siyo Kwa sababu uimara wako unatikiswa kirahisi Sana na udini.
Hoja yako hii Mtu akiiangalia anaweza kuona imenyooka lakini nyuma ya pazia imefunikwa na udini.
Watu wote hawawezi kuwa Sawa Muda wote. Kuna wakati wanatoa mawazo sahihi kuna wakati wanapotoka.
Lakini kwako aliye upande wa Imani yako utakufa naye hata kama kaboronga.
Ni vema ukajifunza kushambulia au kuunga mkono hoja badala ya kushambulia watu au kujifungamanisha na watu.
Tukianza hoja ya Rostam na Mahakama kabla hajaomba radhi, humu JF si wote waliompinga. Nawakumbuka wengi wakisema yuko sahihi maana anawajua Majaji na jinsi alivyotumika kuwasimika.
Waliompinga niligundua walitafuta reaction ya Mahakama na lengo ilikuwa na kuwapambanisha.
Hakuna mwana JF anayejitambua anaweza kupinga kwamba Mahakama za Tanzania hazipokei maagizo ya viongozi wa serikali.
Kuhusu maoni ya Mzee Kikwete, hapa ndo usiseme kabisa. Msimamo wa Wana JF GTs wanajua Kikwete ndiye Remote na Mama ni TV na haya wameyasema Wazi Tangu siku ya mazishi ya JPM kufuatia hotuba Tata ya Kikwete iliyopewa airtime kubwa huku ikiwa contentless. Lakini mbali ya udhaifu huo bado GTs hawawezi kumnyanyapaa akitoa hoja nzuri. Hata saa mbovu kuna wakati inasoma Muda sahihi.