Aina za watu tunaobishana nao mitandaoni

Aina za watu tunaobishana nao mitandaoni

Mwanzoni niliamini wewe ni miongoni mwa watu GT Sana lakini nikaja kugundua siyo Kwa sababu uimara wako unatikiswa kirahisi Sana na udini.

Hoja yako hii Mtu akiiangalia anaweza kuona imenyooka lakini nyuma ya pazia imefunikwa na udini.

Watu wote hawawezi kuwa Sawa Muda wote. Kuna wakati wanatoa mawazo sahihi kuna wakati wanapotoka.

Lakini kwako aliye upande wa Imani yako utakufa naye hata kama kaboronga.

Ni vema ukajifunza kushambulia au kuunga mkono hoja badala ya kushambulia watu au kujifungamanisha na watu.
Tukianza hoja ya Rostam na Mahakama kabla hajaomba radhi, humu JF si wote waliompinga. Nawakumbuka wengi wakisema yuko sahihi maana anawajua Majaji na jinsi alivyotumika kuwasimika.

Waliompinga niligundua walitafuta reaction ya Mahakama na lengo ilikuwa na kuwapambanisha.

Hakuna mwana JF anayejitambua anaweza kupinga kwamba Mahakama za Tanzania hazipokei maagizo ya viongozi wa serikali.

Kuhusu maoni ya Mzee Kikwete, hapa ndo usiseme kabisa. Msimamo wa Wana JF GTs wanajua Kikwete ndiye Remote na Mama ni TV na haya wameyasema Wazi Tangu siku ya mazishi ya JPM kufuatia hotuba Tata ya Kikwete iliyopewa airtime kubwa huku ikiwa contentless. Lakini mbali ya udhaifu huo bado GTs hawawezi kumnyanyapaa akitoa hoja nzuri. Hata saa mbovu kuna wakati inasoma Muda sahihi.
 
Kwamba ujuacho ndani ya JF members wote huwa na maoni ya aina moja, na ni ikitokea wamepinga ni hao hao waliounga mkono?

Kwamba wewe kama ulivyo una single side of the story na mitazamo kwamba hata kama ukianika unga baada ya kuona jua basi hata mvua inyeshe vipi hautakuwa tayari kuanua sababu jua lilishatoka?

Sijui unajaribu kujichora kama mtu wa aina gani? Unajua you are among the legends here?

Being legend siyo lazima ufanane mitazamo na watu, ila mwelekeo na umbali unaouchukua katika kuonyesha tofauti ndiyo unapelekea watu kujiuliza.
 
Majority of Tanzanians don't know what they want..[emoji57]
Ni bendera fuata upepo kaskazn twende, Kusini twende, mashariti twende, Magharib twende.
 
Hicho kichwa cha uzi tuu,kimekuweka nawe kundi hilo hilo la unaowazungumzia.

Sikuwahi kujua kuwa watu mnabishana humu JF,ndio leo nimepata ufahamu huo toka kwako The Boss .

Nakupa pole sana kwako na kwa hao wenzako mnaobishana humu jukwaani.

Kwangu mimi,niko hapa kuelimisha, kuelimika, kuburudika, kutaarifu na kupata taarifa mbalimbali.

N:B, Kwa muono wangu, na ninavyoamini, "Great Thinker" ndani ya JF, ni yule ambaye, kwanza anajiamini, na kujiamini ni pamoja na kuja na utambulisho wako halisi.
Pili, ni yule ambaye anaandika kuhusu hoja na si kuandika kuhusu watu.
 
Siku hizi mleta mada umekuwa too low sana, umekuwa kama akina faizafox na yule jamaa wa Mtwara.
Wao wanaunga mkono hoja au kupinga kwa kuangalia kama imeletwa na 'ndugu ktk imani'.
 
Humu kuna watu wa vyama tofauti, dini na madhehebu tofauti, wanaharakati, machawa, n.k. Sasa leo hii member mmoja akimkosoa Rostam ama Kikwete halafu kesho mwingine akampongeza wewe unahitimishaje ni maoni ya JF nzima yamebadilika? Au huwa kuna vikao vya kupitisha maazimio na kutoka na msimamo wa pamoja?

At least ungeweka hata mifano ya members kadhaa ambao walibadilika kufuata upepo ili tuanzie hapo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
All in all ushajipambanua kama chawa. Hio inatosha kabisa kupuuza huu uzi wako. [emoji3]
Vile nakuheshimu sana,
I'm speechless.
Mimi nilishafuta heshima niliyompa.
Huyu jamaa sijui amapatwa na nini?? Yaani siku hizi ana argue kama Mwijaku et al. Ni aibu tupu
To be honest huyu mwamba huwa namheshimu sana, lakini tangu ishu ya huu mkataba wa kimangungo imeingia kawa tofauti sana! Napata mashaka labda umiliki wa ID hiyo umebadilishwa kama ule wa bandari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rostam Aziz: mahakama zetu sio huru ni sahihi Kwa Dp world kuweka kipengele cha mahakama ya South Africa...

"Ma great thinkers wa JF:mshenzi Sana huyu mwarabu koko...analeta dharau Kwa mahakama zetu...?...kwanza kwanini mahakama zisimchukulie hatua Kali iwe fundisho..... anafikiri ukiwa na pesa unaweza iletea mahakama dharau ? Mahakama zisikubali kuchafuliwa ..zimshugjulikie haraka Sana iwe fundisho... Mahakama zetu ni huru na ziachwe zifanye kazi yake bila kuingiliwa...

Few day latter..
Mahakama: mkataba wa Dpworld hauna shida ...zipo kasoro ndogo zinaweza kurekebishika kwenye mkataba unaofata wa HGA... uwekezaji uendelee.....

"Ma great thinkers wa JF ": Rostam alikuwa sahihi kabisa ... mahakama zetu sio huru...

Kikwete: watu wakikosoa waachwe wakosoe ....unarekebisha kama wanacho ongea ni kweli...

Ma great thinkers wa JF: Samia anapaswa kumsikiliza Mzee wetu Kikwete...Rais mstaafu ana busara sana...

Few days latter..
Kikwete: Viongozi wa dini wasichanganye dini na siasa....

Ma great thinkers wa JF:huyu Mzee anatakiwa afunge mdomo wake...keshastaafu asitupangie..kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake...

Jf ... very interesting
Very interesting kwa kweli
 
JF yenye GT ilikuwa zamani, siku hizi kuna fundamentalist kama fox, hawaongelei kitu zaidi ya dini zao tu na ujinga mwingi
 
Rostam Aziz: mahakama zetu sio huru ni sahihi Kwa Dp world kuweka kipengele cha mahakama ya South Africa...

"Ma great thinkers wa JF:mshenzi Sana huyu mwarabu koko...analeta dharau Kwa mahakama zetu...?...kwanza kwanini mahakama zisimchukulie hatua Kali iwe fundisho..... anafikiri ukiwa na pesa unaweza iletea mahakama dharau ? Mahakama zisikubali kuchafuliwa ..zimshugjulikie haraka Sana iwe fundisho... Mahakama zetu ni huru na ziachwe zifanye kazi yake bila kuingiliwa...

Few day latter..
Mahakama: mkataba wa Dpworld hauna shida ...zipo kasoro ndogo zinaweza kurekebishika kwenye mkataba unaofata wa HGA... uwekezaji uendelee.....

"Ma great thinkers wa JF ": Rostam alikuwa sahihi kabisa ... mahakama zetu sio huru...

Kikwete: watu wakikosoa waachwe wakosoe ....unarekebisha kama wanacho ongea ni kweli...

Ma great thinkers wa JF: Samia anapaswa kumsikiliza Mzee wetu Kikwete...Rais mstaafu ana busara sana...

Few days latter..
Kikwete: Viongozi wa dini wasichanganye dini na siasa....

Ma great thinkers wa JF:huyu Mzee anatakiwa afunge mdomo wake...keshastaafu asitupangie..kila mtu ana Uhuru wa kutoa maoni yake...

Jf ... very interesting
Maoni ni dynamic sio static. Unless utuonyeshe ww umebaki na maoni yale yale toka ujiunge hapa jf.
 
Mnafiki The Boss mwenyewe unabadilika kama kinyonga, akija Rais mkristu unapinga, akija mwislamu mwenzako huoni kosa hata kama liwe kubwa vipi.!!

Ulichokiandika hapo juu umejisema mwenyewe!. "GT wa JF"

Mahakama akiwa Rais mwislamu, unazimini, ajabu Mahakama hizo hizo akija Rais mkristu, huziamini!.
 
All in all ushajipambanua kama chawa. Hio inatosha kabisa kupuuza huu uzi wako. 😀
Chawa ni mdudu anayependelea sana wachafukoge au wapakua mavi... (bila kudharaua kazi za watu) Na sijui kwa nini hili jina wanalipenda. Mtu anayependa uchafu na au hata wa kuchezea mavi ni LGBT- Period- apelekwe Uganda anyongwe- Mavi yaende shimoni na uchafu wa Chawa pia
 
Mh!.nipo paleeeee.
Vikaneni vyeo tu, Ila kwangu Mimi aliesababisha nikafungua acount JF ni MSHANA JR.
nawengine baadhi.ila mwamba huyo ndo...............

Miaka mingi nilikuwa naingia na kutoka Kama mgeni.

Amina usiamini,wapiga sarakasi humu ni wengi Sana afu niwasahaulifu kiwango Cha PhD.
 
Great thinker lazima awe mkweli, haungi hoja mkono kwa kuangalia sura, cheo, jinsia, urafiki, ....

Hakuna ukamilifu duniani, kwa hiyo lazima kubadilika kufuata ukweni kwa kuzingatia mantiki.
 
Back
Top Bottom