Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Heshima kwako Mohammed Dewji
Pole na majukumu ya kuijenga Simba SC. Ili Simba irejee kwenye utawala wa soka la Afrika na Ligi ya NBC, nimefanya uchambuzi wa kina (Squad Audit) kufuatia matokeo ya hivi karibuni yasiyoeleweka ikiwemo sare ya 2-2 dhidi ya Esperance mwenye ligi ya mabingwa na mechi zingine.
Ili kupata nafasi kwa wachezaji wengine wa daraja la kwanza hawa wanapaswa kuondolewa kabisa kupunguza mzigo wa mishahara wanayolipwa kwa Sasa na output haionekani
Jonathan Sowa, Alassane Kante, Kamara, David Kameta, Kibu Denis, na Hussein Abel na Neo Maema. Hawa wameshindwa kuzalisha kulingana na hadhi ya klabu ya Simba. Huyu LOEMBA siwezi kumzungumzia sababu kaletwa na mzabuni ila kwa macho yangu ni mchezaji wa kawaida sana na hatoshi kuchezea Simba.
Jingine kwa ushauri wangu hawa wotolewe kwa mkopo , Vedastus Masinde, Hussein Semfuko, Selemani Mwalimu, na Yakub Suleiman. Wanahitaji dakika nyingi za kucheza ili kukua nje ya presha ya kucheza Simba.
KIKOSI CHA KULINDWA Hawa ndio Uti wa Mgongo ambao timu inapaswa kujengwa kupitia wao:
Rushine De Reuck, Toure, Yusuph Kagoma, Ladack Chasambi, Morice Abraham, Nangu Wilson, Clatous Chama, Elie Mpanzu, Anicet Oura, na Libasse Gueye.
USAJILI WA KIMKAKATI Tunahitaji wachezaji wanne (4) wa daraja la juu (Elite Level) kuziba nafasi.
RB (Beki wa Kulia): Nina jina tayari mbadala sahihi wa kapombe ila sababu ya ushindani wa wapinzani sitaweza kutaja jina lake kwa sasa. Ni mchezaji Mwenye kasi na nguvu kitu ambacho kapombe Hana kwa Sasa sababu ya umri na kuchoka kucheza mechi nyingi sana.
LB (Beki wa Kushoto): Nina jina tayari ni Beki wa daraja la kwanza kabisa, kuziba pengo la Zimbwe/Kibabage. Kibabage bado hatoshi ila anaweza kupangwa mechi za kawaida za ligi kuu.
DM (Kiungo Mkabaji): Nina jina tayari la Mkata Umeme huyu, atakayelinda safu ya ulinzi.
ST (Namba 9): Nina jina tayari la Mshambuliaji mkatili mwenye sifa kama za Mayele.
GOLIKIPA NAMBA MBILI (MZAWA) Kufuatia kanuni za TFF, tunahitaji kipa mzawa mwenye uwezo wa kudaka mechi yoyote kubwa. Nina majina mawili ya makipa wazawa. Makipa wetu wa sasa wazawa hawatoi ushindani wa kutosha kwa Djibrilla Cassali.
NB: na wachezaji wote hao nmefatilia fees zao Wala hawana bei za kutisha na Wala hata hawajulikani Yan sio masupastaa hio inakuambia nini kua Wana njaa ya mafanikio...na umri wao wote wanne ni mid 20's.
Tukiyafanya haya, tutaacha kucheza shere uwanja wa nyumbani hata ugenini na kurejea kuwa tishio namba moja Afrika Mashariki na Kati.
La mwisho, ni KOCHA, nasikitika kua kocha tulienae hatoshi kuifundisha simba, je kocha ambaye Hana tactical flexibility ama game management anatufaa? Ongea vizuri na Barbara Gonzalez, akuambie kocha anaetufaa Simba kwa Sasa...analo jina.
Tofaut na hapo kama tutaendelea hivi kukumbatia lundo la wachezaji wasio na faida basi Simba itaendelea kudorora. Je wewe unataka Simba idorore?
Nawasilisha kwa hatua zaidi.
Wako katika ujenzi wa Simba,
SHABIKI.
NB: Mimi si shabiki tu, bali ni mtu anayejua Kanuni za TFF, Uchumi wa Mpira, na Mbinu za Uwanjani, zaidi nawajua wachezaji wazuri afrika na Nina mawasiliano ya baadhi yao ambao wanatokea nchi ambazo huzalisha wachezaji wazuri sana ambao hata hawajulikani ila ni moto wa kuotea mbali, nafuatilia maendeleo yao na ligi wanazocheza nafuatilia pia na transfer zao n.k, na pia sababu nazungumza kifaransa kwangu Mimi ni rahisi sana kuwasiliana nao.