Aione Mohammed Dewji kuhusu mapendekezo ya kimkakati, Audit na maboresho ya benchi la ufundi Simba SC

Aione Mohammed Dewji kuhusu mapendekezo ya kimkakati, Audit na maboresho ya benchi la ufundi Simba SC

Anajeuri kupita Kiasi na
Fedha zimempa
-Kiburi
-Dharau
-Ngebe
-Kujidai
-Kujiona.
-Maringo nk
 
Aliyepiga pass na Simba kufungwa Goli la Kwanza alikuwa ni Alasane kante.
(kiungo jersey no 8 mgongoni).
Na sio Toure.

Baraka mpenja ni mtangazaji Chupli sana mala nyingi amekuwa na Makosa kwenye kuwataja wachezaji.
Akamtaja Beki Toure kuwq amepiga back pass.
 
Back
Top Bottom