Aliyepiga pass na Simba kufungwa Goli la Kwanza alikuwa ni Alasane kante.
(kiungo jersey no 8 mgongoni).
Na sio Toure.
Baraka mpenja ni mtangazaji Chupli sana mala nyingi amekuwa na Makosa kwenye kuwataja wachezaji.
Akamtaja Beki Toure kuwq amepiga back pass.