Air bnb,ni nini?,nawezaje kuanzisha biashara hii,inayoshika kasi kwa nyakati hizi.

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2012
Posts
23,234
Reaction score
28,473
Wenye uelewa watujuze hii kitu,inafanywaje?,mazingira gani mazuri kwa biashara hii?, vyumba vya aina hufaa kwa biashara hii?je banda zuri la manyasi linafaa kwa biashara hii?vibali vyake vinapatikanaje?,jinsi gani utafawafanyia wateja bookings kutoka nje ya nchi,na mengineyo,
Kwani,MH.Rais wetu mpendwa amekwisha ifungua nchi kwa mapana makubwa sana,kazi kubwa ni sisi watanzania kuchangamkia fursa na kuacha kulalama hovyo kama wehu,
#Wenye uelewa karibuni mtujuze,tumechoka na issue za wanaharakati uchwara,sasa tuongelee yale ya kimaendeleo!
 
Unamzungumzia mzanzibar mpumbavu yule anaye amini yeye akiny💩 na kula mpaka kuvimbiwa ndiyo kafungua nchi 😁😁😁
 
Ni biashara ya mtandao ya kupangisha nyumba au hotel kwa kuwapa accomodation watalii wanaofika katika mji fulani.
Hii biashara inalenga kuwapatia accomodation watalii kwa bei rahisi na ile ambayo inaakisi kipato chao.

Unajiunga kwenye mtandao wa air BnB then una upload location ya nyumba husika na picha zake za rooms ,landscapes na huduma mtawalia unazotea kama ulinzi,car rental ,cctv camera etc etc then unaweka na bei ya accomodation kwa kutwa n.k

Serikali kwa kuona utamu wame introduce levy (kodi) utaenda sijui jiji au halmashauri kujisajiri sambamba ukiwa na TIN namba ya TRA na leseni ya biashara

Jinsi utakavyokua na huduma nzuri ndo utapata wageni (watalii) wengi pia kwa sababu kuna product or service rating na watalii especially wanaotoka sehemu moja hua wanaambiana ukiwa na hospitality tretment nzuri

Nimejaribu boss kuelezea kwa uelewa wangu
Mwenye ziada ataongezea

NB : Hapa badala ya kua na formal hotel,nyumba yako binafsi inatumika kama hotel ....na unajiingizia kipato kwa solve convinience za wageni (tourists au mgeni yoyote kwenye huo mji ambae ata opt kwenda airBnB na sio formal hotel)
 
October 29,ifike tupige kura kwa kuweka ✔️ yaishe....tusonge mbele!
 
Nafurahi kwa mchango wako mkuu,asante sana,ningefurahi akatokea ambaye anafanya biashara hii akatupa ya kina zaidi,arusha,moshi naona wanachangamkia kweli hii kitu,ajabu wanapata pesa mingi kweli, maana unahusika pia kuwapikia chakula cha kiasili,na kuweka bei unayopenda wewe binafsi.
 
#7 ameelezea mengi na uhalisia wa hii biashara
Unaweza ukafanya kwenye mikoa mikubwa hasa wanapofika watalii wengi.

Kama una nyumba ni vizuri ila kama hauna, unaweza kuingia mkataba na mwenye nyumba kwa miaka kadhaa na ukaibadilisha kwa kuingia gharama mwenyewe
 
Ok,thank you.
 
Pamoja na kwamba umeingiza siasa lakini ntakusaidia kidogo uelewe, ila ondoa hizo siasa kwenye mambo ya msingi.

Na si kwa watalii tu pia watu wengine wa kawaida wanotoka nje ya nchi kama mie huwa natumia hii huduma khasa nikiwa na shemeji/ wifi yenu ambae apenda sana kusafiri.

Hakikisha waijenga nyumba yako kwa mtindo wa kiulaya na iwe na "essentials" zote muhimu, maji, umeme usokatika, "standby generetor", uzio wenye ulinzi mkali, gari ya kutumia (utaiweka kwenye package ya safari) na mlinzi bila kusahau CCTV kamera kwani wazungu ni waumini wakubwa wa CCTV.

Waweza kuweka ndani samani za kawaida za kiasili, jiko la kawaida lakini standard na bafu la maana. Katika hili la bafu ni lazima liwe ni shower nzuri yenye mixer ya maana kwani kuoga maji ya shower ni kutamu kulipitiliza.

Weka Jokofu jikoni na mambo mawili matatu na wape option ya kuwa na mpishi khasa kwa "breakfast kama ulivyosema kwenye tangazo (BednBreakfast) au waelekeze wageni kwenye hoteli nzurinzuri karibu na walipofikia.

Kisha sajili Air bnb yako kwenye mtandao wa Booking.com au Trivago na uweke picha zote zinoonyesha hoteli kwani mitandao hii yatoa nafasi kwa watallii kufanya booking na hoteli hapohapo.

Kisha ingia TRA jisajili kama walivyosema na piga kazi.

Kumbuka pale unapopata mapato ndipo wazidi kuiboresha nyumba yako katika maeneo mengine ama paving na bustani.
 
Back
Top Bottom