Air France ndege nyingi wanachukua zinazotengenezwa hapo France ambazo ni Air bus , hata hvyo Airbus Ilinunua share za bombardier , na hvyo bombardier sasa inamilikiwa na airbus , si ajabu kuzikuta ndege za bombardier kwenye shirika la air FranceAir France wana bombardier?
MhhhKufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
Uwanja ambao hauna hata vifaa vya kuongozea ndege?Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
Wahaya wanasafiria maneno zaidiWahaya bhana,Kama wazambia vile
Bora alale njaa ila sio kusafiria kinyonge
Zambia kukuta LC300 imepaki Kwny tembe kawaida[emoji1]
Kama JF Kennedy International airport, New York cityMmmh!! Hivi Bukoba panafananaje?
Imezama Precision Air kutokana na ubovu wa uwanja na sasa hawa Wafaransa wanataka kwenda kuzama kwa kujitakia? Shauri yao.Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
Mkuu usiwashangae Wahaya kwa sifa za kijinga.....usikute wanapelekewa helicopter kuchukua abiria wa kwenda Ulaya kupitia Nairobi au Kampala wao wanakuza kwa kusema ndege itatoka Ufaransa kwenda kubeba senene Bukoba kupeleka Ulaya.Kwa ndege gani za kimataifa zitatua kwenye kale kauwanja?
Saa zingine inabidi utumie akili.
Labda kama hii thread ni FUTUHI