Air France kuanza safari za BUKOBA (BKZ) - PARIS (CDG)

Air France kuanza safari za BUKOBA (BKZ) - PARIS (CDG)

Air France wana bombardier?
Air France ndege nyingi wanachukua zinazotengenezwa hapo France ambazo ni Air bus , hata hvyo Airbus Ilinunua share za bombardier , na hvyo bombardier sasa inamilikiwa na airbus , si ajabu kuzikuta ndege za bombardier kwenye shirika la air France
 
Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
Mhhh
 
Kuna kitu wanachukua hawa wa French people sio watu wa kuamini walahi!
 
Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
Uwanja ambao hauna hata vifaa vya kuongozea ndege?
 
Jiwe walilo kataa waashi sasa limekuwa jiwe kuu la pembeni

Kagera wengi mnaikataa sijajua kwa nini
Ila kwa VETA inayojengwa kagera ya Africa mashariki,,MTAKUJA WENGI,,hutaki nenda UDOM
UDSM & SAUTI

RIP JOHN MAGUFULI
 
Nmecomment haraka nikijua habar ya kweli attachment y picha haifunguk kwa app

kurud Kwny web picha imefunguka nisome attachment, kumbe Ni kipicha Cha ndege ya airfrance[emoji1787]
 
Kufuatia ongezeko la abiria toka mkoa wa Kagera kwenda nchi nyingi za Ulaya. Shirika la Ndege la Air France linatarajia kuanza safari zake kutokea kiwanja cha ndge cha BUKOBA (BKZ) - Paris Charles de Gaulle (CDG) airport.
Imezama Precision Air kutokana na ubovu wa uwanja na sasa hawa Wafaransa wanataka kwenda kuzama kwa kujitakia? Shauri yao.
 
Kwa ndege gani za kimataifa zitatua kwenye kale kauwanja?

Saa zingine inabidi utumie akili.

Labda kama hii thread ni FUTUHI
Mkuu usiwashangae Wahaya kwa sifa za kijinga.....usikute wanapelekewa helicopter kuchukua abiria wa kwenda Ulaya kupitia Nairobi au Kampala wao wanakuza kwa kusema ndege itatoka Ufaransa kwenda kubeba senene Bukoba kupeleka Ulaya.
 
Back
Top Bottom