Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
India wana mpaka nyuklia, na spika wenu yuko kwenye hospitali ya India.Inamaana wahindi sasa n mwiko kutembea kifua mbele, kama watauza heshima ya nchi yao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
India wana mpaka nyuklia, na spika wenu yuko kwenye hospitali ya India.Inamaana wahindi sasa n mwiko kutembea kifua mbele, kama watauza heshima ya nchi yao.
Your signature asks to question the answers. I will do just that.Accountability, above all else.
Mimi ni mwajiriwa wa kudumu wa umma, Mkurugenzi wa Shirika la Ndege, nimeteuliwa na Rais, nina pensheni inaningoja na hakuna popote palipoandikwa kwamba posho, mafao, mshahara na mustakabali wa ajira yangu utategemea business performanceya kampuni, utanieleza nini maisha haya?
Na haya mambo hayajaanza leo, tatizo tunasahau historia yetu. Waajiriwa wa kudumu wa umma wa kina Gibbons Mwaikambo, Mwapachu, Kazaura, Mmari, Janguo waliya run down mashirika ya umma with total impunity mpaka wanastaafu au wanafia ofisini. ATCL is far from a first experiment with state ownership of business conglomerates.
Ni mshamba yuleMh! Sijui kama watapata mnunuzi hawa. Yaani mnunuzi unanunua na deni la $5 billion! WARIE TU! Na biashara yenyewe ya Ndege ilivyokuwa ngumu duniani sasa hivi watasubiri sana kupata Tajri. Nimepapenda hapo kwenye rangi nyekundu.
Ndege zinailetea nchi heshima!!! Inaelekea India wanataka kuitosa heshima yao!
😱😱😱
Huu unaitwa uchocheziInamaana wahindi sasa n mwiko kutembea kifua mbele, kama watauza heshima ya nchi yao.
Kwa nini mnatoa shutuma badala ya kutoa namna shirika linaweza kujitoa kwenye tatïzo la kuingia hasara!!!? Mnaongea as if ndege ni ya adui yenu!!!! Anyway KUSHINDWA KWA INDIA SI KIGEZO CHA SISI PIA KUSHINDWA
Nieleweshe tafadhali Swissair si n ya serikali ya uswiss na nchi ulizozitaja zina mashirika ya ndege ya serikali zao, au nimepoteaNakumbuka wakati kina Zitto Kabwe wanadai tuwe na “flag carrier” nilikuwa nawaambia Flag Carrier maana yake nini? Mbona serikali za Canada, UK, USA, France, Germany, Switzeland, Italia, Australia hawana ndege?
Wanahisi wanamkomoa JPM wapuuzi sana.Kwa nini mnatoa shutuma badala ya kutoa namna shirika linaweza kujitoa kwenye tatïzo la kuingia hasara!!!? Mnaongea as if ndege ni ya adui yenu!!!! Anyway KUSHINDWA KWA INDIA SI KIGEZO CHA SISI PIA KUSHINDWA
lazima uwe profesa na utoke kanda yetu pendwaNilionya hapa kwamba habari za wanasiasa kuingilia mashirika ya ndege zitafanya mashirika hayo yaendeshwe kisiasa na kwa hasara na hatimaye kufa au kuendelea kwa style ya "bottomless money pit".
Kuna CEO wa Ethiopian Airlines alisema moja ya sababu Ethiopian Airlines ina mafanikio makubwa ni kwamba wanasiasa hawaingilii maamuzi kwa sababu za kisiasa.
Ona hapa Why is Ethiopian Airlines so successful?, 11/08/2017 GMT, Africa Business Report - BBC World News
"The Airline is fully owned by the government of Ethiopia, but fully managed by professional aviation experts..." - Tewolde Gebremariam, Ethiopian Airlines CEO.
Tanzania wanasiasa wataweza kuwaachia professionals waendeshe shirika la usafiri wa ndege?