Air Manula anaweza kudaka timu yeyote EPL

Kama Manura ni kipa Bora kwasasa asingekua anacheza apa Tanzania.
sasa unapanda ndege halafu unaenda kuchezea timu km Yanga, au ili mradi unacheza nje ya nchi. Unatoka kote Mali unakuja kuchezea Utopolo.!!
 
Wewe inaonekana ni mtoto aliyezaliwa majuzi, hii nchi imewahi kuwa na makipa huyo Manula asingeweza hata kukalia benchi ya vilabu walivyokuwa wakivichezea.
 
View attachment 2125643
View attachment 2125644

Heshima kubwa sana kwa Air Manula moja kati ya golikipa bora Afrika.

Mechi ya jana bila Manula tulikuwa tufe nyingi sana. Tazama shots on target.

Aish Salum Manula Goli Kipa Namba Moja Wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania
.
[emoji871]Aliyecheza Kwa mafanikio Makubwa na klabu hiyo Kipa bora Wa Ligi kuu Tanzania kwa Misimu Mitano Mfululizo
.
[emoji871]Amecheza Mashindano Mengi Na makubwa Amecheza Robo final Ligi ya mabigwa Kacheza,Afcon na Timu ya Taifa ya Tanzania na Sasa yupo Anakiwasha Huko Shirikisho CAF Kwenye Makundi Na Timu yake Ya Simba
.
Ameshinda vikombe vyote Vya ndani kwa Ngazi ya klabu kama mchezaji Ameashinda Kombe la Ligi,Ameshinda kombe la Shirikisho "ASFC" na makombe mwngine kama Kombe la Mapinduzi
.
[emoji871]Alijiunga na Simba akitokea Azam fc ambako piah Alicheza kwa mafanikio Baada ya kuisaidia timu hiyo Kutwaa kikombe cha Ligi Kuu bila Kupoteza mchezo Wowote yaani "UNBEATEN"
.
[emoji871]Napo Sema Aish ni Mchezaji Ghali Zaidi Kwa sasa wa Ndani Kwa wachezaji Wa Tanzania Namaanisha hiki
.
[emoji871]Mkataba Wa Manula Unamalizika Mwishoni mwa Msimu huu Hii ni baada ya Ule mkataba wa Miaka mitatu Alio saini 2019 Kumalizika mwaka huu 2022.
.
[emoji871]Naamini Kama simba itafanikiwa kumbakiza mchezaji Huyu basi Atasaini mkataba Ghali na Wenye mshahara Mkubwa Sana kwa Sababu Kwa Sasa yupo Katika kiwango Bora kabisa akiwa Golini.
.
[emoji871]Timu nyingi Afrika na Nje zimekuwa Zikimfatilia na Kumwangalia kwa Ukaribu Zaidi. Amini Usiamini Kama Simba itaweza Kumbakiza MANULA basi Wanahitaji Kutoa kiasi Kikubwa cha Pesa
.
[emoji871]Na kuwahi mapema kabla mkataba wake Kufika tamati na Kuruhusiwa kuanza kufanya mazungumzo na timu yoyote ile.
.
[emoji871]Kwa upande wangu Namshauri Aish kama atapata Ofa Nzuri Nje Basi bora Aende tu akacheze huko ili akatafute Changamoto mpya maana Bado namuona Mbali sana kwa Ubora Alio nao hivi Sasa
.
Itachukua Miaka Mingi Sana kumpata Goli kipa Wa aina hii Tanzania.
.
[emoji871]Kama Tutakubaliana Lakini Kwangu Mimi Kwa Baadhi ya Magoli kipa Niliyowahi kuwashuhudia Akitoka JUMA KASEJA basi Nyuma yake Anafata AISHI SALUM MANULA "TANZANIA ONE" jina Alilorithi toka kwa Juma Kaseja
Utakua unaeongela EPL ya Ethiopia
 
Manyula
giphy.gif
 
UPUUZI, acheze EPL hajacheza hata hapa Congo tu!. Mkishiba viazi mnakuwa wapuuz.😀😀🚶
 
Kama Manula ana sifa ya kuchezea timu yoyote ile kwenye Ligi ya EPL, basi Balama Mapinduzi, Fiston Mayele, na washambuliaji kibao wanao mtungua kila mechi, wana sifa ya kuchezea Real Madrid, Barcelona, au Bayern Munich.
 
View attachment 2125643
View attachment 2125644

Heshima kubwa sana kwa Air Manula moja kati ya golikipa bora Afrika.

Mechi ya jana bila Manula tulikuwa tufe nyingi sana. Tazama shots on target.

Aish Salum Manula Goli Kipa Namba Moja Wa Klabu ya Simba na Timu ya Taifa ya Tanzania
.
[emoji871]Aliyecheza Kwa mafanikio Makubwa na klabu hiyo Kipa bora Wa Ligi kuu Tanzania kwa Misimu Mitano Mfululizo
.
[emoji871]Amecheza Mashindano Mengi Na makubwa Amecheza Robo final Ligi ya mabigwa Kacheza,Afcon na Timu ya Taifa ya Tanzania na Sasa yupo Anakiwasha Huko Shirikisho CAF Kwenye Makundi Na Timu yake Ya Simba
.
Ameshinda vikombe vyote Vya ndani kwa Ngazi ya klabu kama mchezaji Ameashinda Kombe la Ligi,Ameshinda kombe la Shirikisho "ASFC" na makombe mwngine kama Kombe la Mapinduzi
.
[emoji871]Alijiunga na Simba akitokea Azam fc ambako piah Alicheza kwa mafanikio Baada ya kuisaidia timu hiyo Kutwaa kikombe cha Ligi Kuu bila Kupoteza mchezo Wowote yaani "UNBEATEN"
.
[emoji871]Napo Sema Aish ni Mchezaji Ghali Zaidi Kwa sasa wa Ndani Kwa wachezaji Wa Tanzania Namaanisha hiki
.
[emoji871]Mkataba Wa Manula Unamalizika Mwishoni mwa Msimu huu Hii ni baada ya Ule mkataba wa Miaka mitatu Alio saini 2019 Kumalizika mwaka huu 2022.
.
[emoji871]Naamini Kama simba itafanikiwa kumbakiza mchezaji Huyu basi Atasaini mkataba Ghali na Wenye mshahara Mkubwa Sana kwa Sababu Kwa Sasa yupo Katika kiwango Bora kabisa akiwa Golini.
.
[emoji871]Timu nyingi Afrika na Nje zimekuwa Zikimfatilia na Kumwangalia kwa Ukaribu Zaidi. Amini Usiamini Kama Simba itaweza Kumbakiza MANULA basi Wanahitaji Kutoa kiasi Kikubwa cha Pesa
.
[emoji871]Na kuwahi mapema kabla mkataba wake Kufika tamati na Kuruhusiwa kuanza kufanya mazungumzo na timu yoyote ile.
.
[emoji871]Kwa upande wangu Namshauri Aish kama atapata Ofa Nzuri Nje Basi bora Aende tu akacheze huko ili akatafute Changamoto mpya maana Bado namuona Mbali sana kwa Ubora Alio nao hivi Sasa
.
Itachukua Miaka Mingi Sana kumpata Goli kipa Wa aina hii Tanzania.
.
[emoji871]Kama Tutakubaliana Lakini Kwangu Mimi Kwa Baadhi ya Magoli kipa Niliyowahi kuwashuhudia Akitoka JUMA KASEJA basi Nyuma yake Anafata AISHI SALUM MANULA "TANZANIA ONE" jina Alilorithi toka kwa Juma Kaseja
Ulimuona Mendy jana? angekua Manura ubao ungesoma mkono
 
Back
Top Bottom