Air Manula anaweza kudaka timu yeyote EPL

Kama Manura ni kipa Bora kwasasa asingekua anacheza apa Tanzania.
sasa unapanda ndege halafu unaenda kuchezea timu km Yanga, au ili mradi unacheza nje ya nchi. Unatoka kote Mali unakuja kuchezea Utopolo.!!
 
Wewe inaonekana ni mtoto aliyezaliwa majuzi, hii nchi imewahi kuwa na makipa huyo Manula asingeweza hata kukalia benchi ya vilabu walivyokuwa wakivichezea.
 
Utakua unaeongela EPL ya Ethiopia
 
UPUUZI, acheze EPL hajacheza hata hapa Congo tu!. Mkishiba viazi mnakuwa wapuuz.๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿšถ
 
Kama Manula ana sifa ya kuchezea timu yoyote ile kwenye Ligi ya EPL, basi Balama Mapinduzi, Fiston Mayele, na washambuliaji kibao wanao mtungua kila mechi, wana sifa ya kuchezea Real Madrid, Barcelona, au Bayern Munich.
 
Ulimuona Mendy jana? angekua Manura ubao ungesoma mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ