Air Tanzania - hii ndio kupanga biashara ???

Air Tanzania - hii ndio kupanga biashara ???

Kwani ya Tz ni % ngapi?
Ngoja tumalizane na Kenya kwanza, tukishakubaliana ndio tutazame ya Tanzania.
Kenya ni 12,000Km tu ndio iko na lami, kati ya hiyo, only 4000Km ndio iko katika hali Nzuri, 8000Km imechakaa sana.
 
Ngoja tumalizane na Kenya kwanza, tukishakubaliana ndio tutazame ya Tanzania.
Kenya ni 12,000Km tu ndio iko na lami, kati ya hiyo, only 4000Km ndio iko katika hali Nzuri, 8000Km imechakaa sana.
Wewe niambie ya Tz ngapi, kwani yako imelala?
 
heheee...siku hz tandale nako ni abroad..bwahahahaaa
 
I always ask myself whether you are a human being or jellyfish. Between and you and your children who is advising the other? Now tell me, nani aliwafukuza?. I know this is a fightback for claiming that TPDF poor, but kusema tu ukweli it's a poor army.

Inaonekana umeumia sana [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
What is an international route?? kaka ATCL ikivuka border kuja Kenya its already international. ama kulingana na wewe international lazima ifike kwa wazungu.
Bombardier's Q400 has a range of around 1,150 statute miles , can fly to all neighboring nations.

The 2 major priorities of IATA are safety and security standards, not the number or range of routes.
Hizo ATCL wameamua kuzitumia local hata kama zinaweza ruka border..
Ni juzi tu kq wakafukuzwa Burundi kwa kuleta hizo daladala za hewani
 
I always ask myself whether you are a human being or jellyfish. Between and you and your children who is advising the other? Now tell me, nani aliwafukuza?. I know this is a fightback for claiming that TPDF poor, but kusema tu ukweli it's a poor army.
Una catch feelings ukipatwa vizuri..
As you can see, UN hiring Charter planes for its UN peacekeepers is very normal, even for peace keepers from kenya.
 
Wa kenya humu mbona hili la airtanzania lina wakereketa sanaaaa hamjui kama tusha order B787-9 =1, A220 =2, Q400=1 hamjui au ss kama hii moja tu inawauma ivyo je tukileta iyo 787-9 ambyo nyie hamuwezi nunua si mtanuna mwaka mzima jaman ? Uganda airline wamenunua ndege lkn mpaka leo wamezipaki wana subiri vibali lkn mbona hamuwasemi ila nyie air tanzania tu ndio mnaiona
 
Uganda sio tisho, hawawezi sengenya midenge mpya yao sababu hao sio tishio..
Tz ni hatar kwa kenya
 
Pumbavu wewe watuache hata kutruambia ukweli wa mambo ambayo tunaweza kuboresha, KENGE KABISAAA

Uwez amini wakenya wanateseka sana na mambo ya Tanzania kana kwamba ni yao
Tuachen na nchi yetu fanyen yenu shobo zanini
 
To be honest buying an aircraft meant for international flights and u do not have clearance to fly is such a dumb move..... no seriously this is just lame 😒 😒😒😒😒 To think that a board sat down somewhere and ratified the decision.... jeeeeeez!!!!

Hahahahahaha just relax and wait for it to happen ...mbona nyie mmepata kibali cha kuruka kwenda US lkn ss iv hamuendi US kama kibali chenu mlivyoomba kuruka kila siku kwenda US na ss iv mnaruka once per month and sometime you don't
 
Pumbavu wewe watuache hata kutruambia ukweli wa mambo ambayo tunaweza kuboresha, KENGE KABISAAA

Ww usiejielewa wanapotuambia sisi mambo ya kulekebisha kwaio wao nchi yao aina shida

Walekebishe mambo ya nchi yao kwanza ndo waje kutulekebisha sisi

Kama unawapenda sana jiunge nao kuuza maparachichi
 
Mm nawauliza wakenya mnaoisema ovyo ATCL yetu ...mbona ya kwenu safari za US zinawashinda ? Embu ttueni kwanza la kwenu then mtakuja kwa ATCL
 
Hahahahahaha just relax and wait for it to happen ...mbona nyie mmepata kibali cha kuruka kwenda US lkn ss iv hamuendi US kama kibali chenu mlivyoomba kuruka kila siku kwenda US na ss iv mnaruka once per month and sometime you don't

Lakini ukisema uongo hadharani hivi sio nzuri. Hata wewe unajua ukweli ni kwamba KQ wanafly NY 5 times a week because oct to May is low season in the airline industry.
Mbona hamja tumia hiyo Bombadier wacha Drimulaina kuja Nairobi au Kampala? Hamna leseni.
 
Those few months mnapiga kelele. Zile Dreamliner zenu mlinunua 2013 zimeanza kwenda US lini?

Dreamliner za Kenya zimekua zikienda Paris, London, goanzou, Joburg,Lagos,Dubai, e.t.c kutoka zinunuliwe. They have been very busy, NY was just the latest new route
 
Back
Top Bottom