A
Dogo acha ujuaji ujuaji. Dotto huko kashaungua najua kwako ni kawaida tu😆😆😆Punguza ujuaji. Mambo ya kawaida kwenye aviation. Kikubwa mpate usafir kufika Mwanza
Air Tz katiks one n twoLeo Agosti 6, 2026 nilikuwa na safari ya kutoka Dar kwenda Mwanza, kupitia usafiri wa ndege ya ATCL, nilifika Airport na kukamilisha taratibu zote za 'Check-in' kabla ya safari iliyotakiwa kuanza Saa Sita Mchana.
Tukiwa katika foleni ya kuingia kwenye ndege, abiria watano wa mwisho tukasimamishwa, maafisa wa ATCL walianza kuzunguka na kutoa sababu zisizoeleweka. Wakadai kuwa mizigo na kilo zimezidi, lakini nilipowahoji walibadili maneno.
Baada ya kupoteza takriban dakika 45 na muda wa ndege kuondoka ukizidi kusogea, ghafla walianza kutangaza: "Kuna changamoto ya kiufundi (Technical Problem), hivyo hamtaweza kupanda ndege hii na tutawafanyia taratibu za kuwahamishia (reallocate) kwenye ndege nyingine."
Kitu kilichonishtua na kunisikitisha zaidi ni kwamba ndege haikutatizika wala kuahirishwa safari, abiria wengine wote waliokuwa mbele yetu walipanda na ndege hiyo hiyo ya ATCL ilitangazwa, ikapaa na kuondoka kwenda Mwanza.
Inakuwaje sisi watano tu ndio iseme kuna tatizo la kiufundi? Waluchofanya wametuchukua na kutuleta hotelini wakidai watatutafutia ndege ya usiku, binafsi nilikuwa na safari nyingine ya kuunganisha na ni muhimu sana, sasa ATCL wameharibu kila kitu nilichopanga.
Wiki iliyopita nilimwona pia mtangazaji mmoja wa Wasafi FM akisema kuna sehemu walienda wakaambiwa ndege imejaa japo haikusemwa ni ndege ya shirika au kampuni ipi, sasa inakuwaje ndege inajaa wakati abiria ameshakata tiketi na kila kitu kinajulikana, kwani zimekuwa kama Daladala siku hizi?
Hahaha! Unanikumbusha mambo ya zamani ya kwenye treni na mabasi, makondakta wanapambanisha tiketi, yaani siti moja inakatiwa hata kwa abiria watatu halafu mnakuja kugombana ndani ya safari.Leo Agosti 6, 2026 nilikuwa na safari ya kutoka Dar kwenda Mwanza, kupitia usafiri wa ndege ya ATCL, nilifika Airport na kukamilisha taratibu zote za 'Check-in' kabla ya safari iliyotakiwa kuanza Saa Sita Mchana.
Tukiwa katika foleni ya kuingia kwenye ndege, abiria watano wa mwisho tukasimamishwa, maafisa wa ATCL walianza kuzunguka na kutoa sababu zisizoeleweka. Wakadai kuwa mizigo na kilo zimezidi, lakini nilipowahoji walibadili maneno.
Baada ya kupoteza takriban dakika 45 na muda wa ndege kuondoka ukizidi kusogea, ghafla walianza kutangaza: "Kuna changamoto ya kiufundi (Technical Problem), hivyo hamtaweza kupanda ndege hii na tutawafanyia taratibu za kuwahamishia (reallocate) kwenye ndege nyingine."
Kitu kilichonishtua na kunisikitisha zaidi ni kwamba ndege haikutatizika wala kuahirishwa safari, abiria wengine wote waliokuwa mbele yetu walipanda na ndege hiyo hiyo ya ATCL ilitangazwa, ikapaa na kuondoka kwenda Mwanza.
Inakuwaje sisi watano tu ndio iseme kuna tatizo la kiufundi? Waluchofanya wametuchukua na kutuleta hotelini wakidai watatutafutia ndege ya usiku, binafsi nilikuwa na safari nyingine ya kuunganisha na ni muhimu sana, sasa ATCL wameharibu kila kitu nilichopanga.
Wiki iliyopita nilimwona pia mtangazaji mmoja wa Wasafi FM akisema kuna sehemu walienda wakaambiwa ndege imejaa japo haikusemwa ni ndege ya shirika au kampuni ipi, sasa inakuwaje ndege inajaa wakati abiria ameshakata tiketi na kila kitu kinajulikana, kwani zimekuwa kama Daladala siku hizi?
Hujui unachokisema, rudia kusoma malalamiko yakePunguza ujuaji. Mambo ya kawaida kwenye aviation. Kikubwa mpate usafir kufika Mwanza
Simply.Leo Agosti 6, 2026 nilikuwa na safari ya kutoka Dar kwenda Mwanza, kupitia usafiri wa ndege ya ATCL, nilifika Airport na kukamilisha taratibu zote za 'Check-in' kabla ya safari iliyotakiwa kuanza Saa Sita Mchana.
Tukiwa katika foleni ya kuingia kwenye ndege, abiria watano wa mwisho tukasimamishwa, maafisa wa ATCL walianza kuzunguka na kutoa sababu zisizoeleweka. Wakadai kuwa mizigo na kilo zimezidi, lakini nilipowahoji walibadili maneno.
Baada ya kupoteza takriban dakika 45 na muda wa ndege kuondoka ukizidi kusogea, ghafla walianza kutangaza: "Kuna changamoto ya kiufundi (Technical Problem), hivyo hamtaweza kupanda ndege hii na tutawafanyia taratibu za kuwahamishia (reallocate) kwenye ndege nyingine."
Kitu kilichonishtua na kunisikitisha zaidi ni kwamba ndege haikutatizika wala kuahirishwa safari, abiria wengine wote waliokuwa mbele yetu walipanda na ndege hiyo hiyo ya ATCL ilitangazwa, ikapaa na kuondoka kwenda Mwanza.
Inakuwaje sisi watano tu ndio iseme kuna tatizo la kiufundi? Waluchofanya wametuchukua na kutuleta hotelini wakidai watatutafutia ndege ya usiku, binafsi nilikuwa na safari nyingine ya kuunganisha na ni muhimu sana, sasa ATCL wameharibu kila kitu nilichopanga.
Wiki iliyopita nilimwona pia mtangazaji mmoja wa Wasafi FM akisema kuna sehemu walienda wakaambiwa ndege imejaa japo haikusemwa ni ndege ya shirika au kampuni ipi, sasa inakuwaje ndege inajaa wakati abiria ameshakata tiketi na kila kitu kinajulikana, kwani zimekuwa kama Daladala siku hizi?
Hiyo picha ni yako? Kama ndio we jamaa una roho mbaya kama sura yako aiseePunguza ujuaji. Mambo ya kawaida kwenye aviation. Kikubwa mpate usafir kufika Mwanza
Pesa ya kula njiani😁😁Pole kwa yote mkuu. Mimi labda niulize ni sh ngapi hadi mwanza from dar coz natamani siku moja nipaishwe na mimi. Na unahitaji uwe na nini tofauti na pesa ya kula njiani na inachukua mda gani ufke mwanza tafadhali
Hamna malalamiko. Overbooking/re-booking vitu vya kawaida. Umeanza kupanda ndege leo unababaikaHujui unachokisema, rudia kusoma malalamiko yake
Pesa ya kula njiani😁tukifika stand ndio👍👍👍
Usihalalishe makosa sababu yamejirudia mara nyingi.Hamna malalamiko. Overbooking/re-booking vitu vya kawaida. Umeanza kupanda ndege leo unababaika
Kaka unatuchora leoPole kwa yote mkuu. Mimi labda niulize ni sh ngapi hadi mwanza from dar coz natamani siku moja nipaishwe na mimi. Na unahitaji uwe na nini tofauti na pesa ya kula njiani na inachukua mda gani ufke mwanza tafadhali