Air Tanzania kuanza Safari za Bujumbura na Entebbe hivi karibuni!

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Mwezi August mwaka huu Air Tanzania inatarajia kuanzisha safari za moja kwa moja kuelekea Viwanja vya Entebbe na Bujumbura.

Hatimaye Wings of Kilimanjaro a.k.a Twiga anayepaa amerejea angani.

VIVA MAGUFULI VIVA!!
[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]
 
Kwa ndege zipi au ni ule mzoga uliofia pale Mwanza?
 
CC: @Salaryslip swissme msichokipenda kinatokea
Zimetengenezwa ili ziruke na si vinginevyo kwahiyo kuruka sio ndio kufufua shirika bali kufufua shirika ni shirika kufikia hatua ya shirika kujiendesha lenyewe bila msaada wa serikali.

Tukutane baada ya miaka miwili au mitatu kupata majibu.
 
Hivi ziko ngapi maana mara ipo katavi mara iende chato halafu india irudi entebe baadae bujumbura yaani ikimaliza tu hizo ruti tunaipaki mazima
 
Mkuu hakuna haja ya miaka miwili kuna mzoga mmoja upo pale Airport ya Mwanza na bado kuna moja lipo zoga jingine huko USA linakuja kuzikwa hapa nchini muda si mrefu
 
malizia na brand new in Africa cs300 haaa utaharisha mwaka huu kwa roho mbaya yako
 
Mwezi August mwaka huu Air Tanzania inatarajia kuanzisha safari za moja kwa moja kuelekea Viwanja vya Entebbe na Bujumbura.

Hatimaye Wings of Kilimanjaro a.k.a Twiga anayepaa amerejea angani.

VIVA MAGUFULI VIVA!!
[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]
ni imani Mungu akipenda safari yangu ya ENTEBBE/BUJUMBURA nitaondoka na THE WING OF KILIMANJARO, kuna tatizo kwa mawakala wa ukataji ndenge kwa wafanyakazi wa serikali, mara nyingi nauliza lakini sipati jibu wanakukatia tiketi ya kenya /rwanda/ethiopa airlines angali TANZANIA AIR INA ROUTE ENEO HILO, WAHUSIKA FUATILIENI HILI
 
barabara kwanza ndgu barabara nyng vijijin ni vibovu wanakijiji weng wanauza mazao yao bei ndogo sbb ya barabara mbovu.
 
Mimi nilijua mishahara imeongezwa au thamani ya madafu itakuwa imepanda
 
Ikiruka hizo rout kwa muda wa miezi 8 ikitua mwanza inaenda kuungana na panga boy kwa ajili ya mazishi
 
Hivi ziko ngapi maana mara ipo katavi mara iende chato halafu india irudi entebe baadae bujumbura yaani ikimaliza tu hizo ruti tunaipaki mazima
Hahahahaha...nyingine ikienda Bombay inabaki hukohuko. Nayo inakua gonjwa itatibiwa India.
 
Zimetengenezwa ili ziruke na si vinginevyo kwahiyo kuruka sio ndio kufufua shirika bali kufufua shirika ni shirika kufikia hatua ya shirika kujiendesha lenyewe bila msaada wa serikali.

Tukutane baada ya miaka miwili au mitatu kupata majibu.
Sio mbali inshallah
 
Mkuu hakuna haja ya miaka miwili kuna mzoga mmoja upo pale Airport ya Mwanza na bado kuna moja lipo zoga jingine huko USA linakuja kuzikwa hapa nchini muda si mrefu

Duh!,kumbe Afrika ni Maeneo ya Kuzikia Watu na Vitu ?..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…