Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ndege zipi au ni ule mzoga uliofia pale Mwanza?Mwezi August mwaka huu Air Tanzania inatarajia kuanzisha safari za moja kwa moja kuelekea Viwanja vya Entebbe na Bujumbura.
Hatimaye Wings of Kilimanjaro a.k.a Twiga anayepaa amerejea angani.
VIVA MAGUFULI VIVA!!
[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]
Vipi lile mtumba la Dreamliner linaingia lini? hilo ndio linakuja kuifilisi nchiTuwekee picha yake ikiwa imepark hapo Mwanza
Zimetengenezwa ili ziruke na si vinginevyo kwahiyo kuruka sio ndio kufufua shirika bali kufufua shirika ni shirika kufikia hatua ya shirika kujiendesha lenyewe bila msaada wa serikali.CC: @Salaryslip swissme msichokipenda kinatokea
Mkuu hakuna haja ya miaka miwili kuna mzoga mmoja upo pale Airport ya Mwanza na bado kuna moja lipo zoga jingine huko USA linakuja kuzikwa hapa nchini muda si mrefuZimetengenezwa ili ziruke na si vinginevyo kwahiyo kuruka sio ndio kufufua shirika bali kufufua shirika ni shirika kufikia hatua ya shirika kujiendesha lenyewe bila msaada wa serikali.
Tukutane baada ya miaka miwili au mitatu kupata majibu.
malizia na brand new in Africa cs300 haaa utaharisha mwaka huu kwa roho mbaya yakoMkuu hakuna haja ya miaka miwili kuna mzoga mmoja upo pale Airport ya Mwanza na bado kuna moja lipo zoga jingine huko USA linakuja kuzikwa hapa nchini muda si mrefu
ni imani Mungu akipenda safari yangu ya ENTEBBE/BUJUMBURA nitaondoka na THE WING OF KILIMANJARO, kuna tatizo kwa mawakala wa ukataji ndenge kwa wafanyakazi wa serikali, mara nyingi nauliza lakini sipati jibu wanakukatia tiketi ya kenya /rwanda/ethiopa airlines angali TANZANIA AIR INA ROUTE ENEO HILO, WAHUSIKA FUATILIENI HILIMwezi August mwaka huu Air Tanzania inatarajia kuanzisha safari za moja kwa moja kuelekea Viwanja vya Entebbe na Bujumbura.
Hatimaye Wings of Kilimanjaro a.k.a Twiga anayepaa amerejea angani.
VIVA MAGUFULI VIVA!!
[HASHTAG]#HAPAKAZITU[/HASHTAG]
Tuwekee picha yake ikiwa imepark hapo Mwanza
Hahahahaha...nyingine ikienda Bombay inabaki hukohuko. Nayo inakua gonjwa itatibiwa India.Hivi ziko ngapi maana mara ipo katavi mara iende chato halafu india irudi entebe baadae bujumbura yaani ikimaliza tu hizo ruti tunaipaki mazima
Sio mbali inshallahZimetengenezwa ili ziruke na si vinginevyo kwahiyo kuruka sio ndio kufufua shirika bali kufufua shirika ni shirika kufikia hatua ya shirika kujiendesha lenyewe bila msaada wa serikali.
Tukutane baada ya miaka miwili au mitatu kupata majibu.
Mkuu hakuna haja ya miaka miwili kuna mzoga mmoja upo pale Airport ya Mwanza na bado kuna moja lipo zoga jingine huko USA linakuja kuzikwa hapa nchini muda si mrefu