Air Tanzania kuanza Safari za Bujumbura na Entebbe hivi karibuni!

Kumbe mnaumia sana juu yao
Hatuumii ila tunawashangaa walivyo negative. Unajua ni upuuzi kumchukia mama au baba yako kwani hukuwa na uamuzi wa kuzaliwa nao. Vile vile wengi wakimchagua Rais au mbunge hata mwenyekiti wa kitongoji, huna budi kushirikiana naye maana wengi wape (nikisema kuchaguliwa na wengi ni pamoja na kuiba kura, figisu za uchaguzi etc). Tutakaa tunalumbana kwa miaka 10 na siku hazigandi. Kuna haja ya kuweka pembeni masuala haya ili maisha yasonge mbele. Umesahau hawa jamaa walisema JPM hata mwaka hafikishi?
 
Mkuu nnaiweka kumbukumbu ktk Kichwa changu ,Muda ukiwadia(kama tutajaaliwa Uhai) nnta kukumbusha hili la leo
Napenda sana watu wanaotunza kumbukumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…