kibhojela
JF-Expert Member
- Mar 7, 2018
- 1,004
- 1,096
Ccm wanajua ndege ni bodabodaHivi ziko ngapi maana mara ipo katavi mara iende chato halafu india irudi entebe baadae bujumbura yaani ikimaliza tu hizo ruti tunaipaki mazima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ccm wanajua ndege ni bodabodaHivi ziko ngapi maana mara ipo katavi mara iende chato halafu india irudi entebe baadae bujumbura yaani ikimaliza tu hizo ruti tunaipaki mazima
😀 😀 😀 😀 😀 😀 😀Hahahahaha...nyingine ikienda Bombay inabaki hukohuko. Nayo inakua gonjwa itatibiwa India.
Na wenye akili siyo ccm!!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mtaombea sana ipaki!!
Bahati nzuri watengenezaji sio Chadema
Kumbe mnaumia sana juu yaoWakuda hao jamaa, sijui kama wanalala
Hatuumii ila tunawashangaa walivyo negative. Unajua ni upuuzi kumchukia mama au baba yako kwani hukuwa na uamuzi wa kuzaliwa nao. Vile vile wengi wakimchagua Rais au mbunge hata mwenyekiti wa kitongoji, huna budi kushirikiana naye maana wengi wape (nikisema kuchaguliwa na wengi ni pamoja na kuiba kura, figisu za uchaguzi etc). Tutakaa tunalumbana kwa miaka 10 na siku hazigandi. Kuna haja ya kuweka pembeni masuala haya ili maisha yasonge mbele. Umesahau hawa jamaa walisema JPM hata mwaka hafikishi?Kumbe mnaumia sana juu yao
Sijawahi tetea vitu vya ajabu mimi!