Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa.

ROUTE zilizokuwa maarufu kwa wafanyakazi wa NGOs za kimataifa
1. Dar-Mwanza,
2. Dar-Geita,
3. Dar-Kigoma,
4. Dar-Iringa,
5. Dar-Mtwara.

**
i. ICAP,
ii. MDH,
iii. Save the Children,
iv. EGPAF,
v. Jhpiego,
vi. THPS,
vii. World Vision,
viii. RTI,
ix. CRS,
x. PSI,
xi. Delloitte (Auditing).
 
Mtwara, here we come!
Starting February 17, 2025, fly with Air Tanzania to Mtwara every Monday, Wednesday, and Friday at unbeatable fares!

One-way: TZS 122,200
Round-trip: TZS 199,000

Book your seat now
📞 +255 748 773 900 | 🌐 www.airtanzania.co.tz

#AirTanzania #Mtwara #TheWingsOfKilimanjaro
unafanya kazi TAA
 
Huko Ntwara tutaenda na Buti la Zungu.ndege ni anasa kwa sasa tutarudi tena mpaka trump amalize muda wake.
 
IMG-20250208-WA0066.jpg
 
Mtwara, here we come!
Starting February 17, 2025, fly with Air Tanzania to Mtwara every Monday, Wednesday, and Friday at unbeatable fares!

One-way: TZS 122,200
Round-trip: TZS 199,000

Book your seat now
📞 +255 748 773 900 | 🌐 www.airtanzania.co.tz

#AirTanzania #Mtwara #TheWingsOfKilimanjaro
Utabeba nani mtwara na NGOs zishapigwa pini?
 
MDH ndio akina nani mkuu...??
Maana umeandika kana kwamba kila mtu anawajua hao MDH...🙄
Ni NGO ambayo nadhani kwa Tanzania ndio ilikua inaongoza kupokea mpunga wa USAID, ndio Ile program ya Watu wa Afya Wengi walioajiriwa Kwa kupitia Huko.

Ndio waliokua MAIN RECIPIENT wa Mzigo wa GLOBAL FUND baada ya AMREF kutemeshwa Bungo, kama kumbukumbu Zangu ziko njema
 
AMREF walizingua kitu gani?
 
Back
Top Bottom