Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

Mtwara, here we come!
Starting February 17, 2025, fly with Air Tanzania to Mtwara every Monday, Wednesday, and Friday at unbeatable fares!

One-way: TZS 122,200
Round-trip: TZS 199,000

Book your seat now
📞 +255 748 773 900 | 🌐 www.airtanzania.co.tz

#AirTanzania #Mtwara #TheWingsOfKilimanjaro
Kituko sio ofa ndo mazima
 
Kituko sio ofa ndo mazima
IMG-20250208-WA0074.jpg
 
Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa
Kwani Marekani pekee ndo mwenye NGOs Tanzania Mkuu?, Pia unatakiwa kujua Aviation Business hata kwa basics kama sio uwanja wako wa kujidai, Ungeniambia Marekani imezuia raia wake kuja Tanzania kwa kipengele cha Utallii hapo mtima ungestuka, Ndege nyingi zinazokuja Bongo ni za kuconnect kama ATCL akiwepo kwenye kiwanja husika ana advantage kubwa zaidi japokuwa si wakati wote, unajua kwanini Precision Air ana survive mpk leo pamoja na dhoruba lote la Fastjet na ATCL, Simply kwa sababu anaaminika na Weupe kwa miaka mingi sasa, Ukiwauliza wazungu ni ndege gani iko realible Tanzania watakwambia ni Precision Air, ATCL ana kazi ya kufanya fun enough wazungu wanatabia ya kushea taarifa na kuaminiana.
 
Acha wakate misaada watawala wapunguze viburi.

Uchafuzi huu mwaka mtajibeba fungu la kumi tume ya uchaguzi kwishney.
Hahaha nchi hii inapokea misaada kutoka kila sehemu ya Dunia, Trump na Marekani kuondoa USAID haimaanishi EU,CHINA,Nordic countries, Japan,South na North Korea na Wadau wengine wameacha kutoa. Wao mpunga wao upo palepale.

Sema watakao athirika ni wale waliokuwa wanalipwa moja kwa moja na Marekani.
 
Back
Top Bottom