Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

Haya madola pia ndio yanayosaidia shilingi isiporomoke zaidi kwa nchi kama yetu isiyouza chochote nje inayotegemea pesa za kigeni kwa misaada na mikopo, so tutegemee pia hayo mabilioni yaliyokatika kupandisha bei ya $$$ then manipulation za rais wa mawe zianze tena
 
Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa
We bwege mnyarwanda AirTanzania inakuhusu nini. Tanzania siyo DRC.
 
Nashangaaa Hadi sasa Serikali sikivu iko kimya Tu Wala hakuna mkakati wowote wa ku-rescue situation! MDH wamefunga Ofisi nadhani
Huko sahihi ata hapa nyumbani Iringa, ATCL inarudisha huduma uwanja wa Nduli. Lakini nakumbuka kabla ya matengenezo nilikuwa mmoja wa wasafiri. Npesa ya project ndiyo ilikuwa inanisafirisha siwezi kutoa pesa yangu mkonon kulipa 335,000/=. Pia nakumbuka wasafiri wengi walikuwa ni wafanyakazi wa NGOs na wachina wachache kutoka Mafinga. Kimeumana salary power ya serikali haiwezekani mtumishi wa uma kusafiri
 
Kwisha habari yetu
 
Rangi ya tangazo ndiyo nini, kuna mtu ana hati miliki na rangi fulani?
u mean rangi ya maandishi au Logo/emblem ya Precision AIR? 😀
1739083748207.png
 
Hii ndio shida yetu, tunapaswa kubadili hizi fikra.

Usafiri wa ndege ni usafiri tu wa kawaida haipaswi kuwa anasa, bali inapaswa kuwa usafiri tu wa kawaida ambao kila mtu anapaswa kuwa na uwezo wa kuutumia.
 
Mbona air transport TZ bado ni cheap, issue ni poverty ndyo inafanya tufikiri kuwa ni usafiri wa ANASA😛
 
Cheap kulinganisha na maisha ya watanzania au cheap kulinganisha na nini?

kama standard of living haiendana na hizo nauli Kwa nini wasiadjust au kufanya hesabu zao ziendane na standard za maisha ya watanzania?
 
huwezi fanya biashara ya airline kwa set fare kulingana na hali ya uchumi wa majority (eti standard of living), disregarding operational cost, kama huwezi afford flight cost, use other means of transport
 
Cheap kulinganisha na maisha ya watanzania au cheap kulinganisha na nini?

kama standard of living haiendana na hizo nauli Kwa nini wasiadjust au kufanya hesabu zao ziendane na standard za maisha ya watanzania?
Hesabu za ndege haziendani na standard of living ila kwa costing ziko sahihi. Cha kuboresha ni hali za watu za uchumi ili waweze ku afford ndege sio kushusha bei za ndege.
 
Back
Top Bottom