Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

Air Tanzania kuathirika kwa NGOs kukatiwa Misaada na USAID

MDH ndio akina nani mkuu...??
Maana umeandika kana kwamba kila mtu anawajua hao MDH...🙄
Hawa hapa, kirefu chake nadhani ni Management for Development and Health (MDH)
IMG-20250206-WA0044.jpg
 
Ni NGO ambayo nadhani kwa Tanzania ndio ilikua inaongoza kupokea mpunga wa USAID, ndio Ile program ya Watu wa Afya Wengi walioajiriwa Kwa kupitia Huko.

Ndio waliokua MAIN RECIPIENT wa Mzigo wa GLOBAL FUND baada ya AMREF kutemeshwa Bungo, kama kumbukumbu Zangu ziko njema
Ohhhh.....
Asante kwa taarifa mujarab kabisa mkuu.
Kwahiyo hawa MDH, wamefunga office zao kwamaana ya kuahirisha miradi ama..... wamefunga office zao kwa muda ili wakisubiri pengine tamko lingine tofauti??
 
Yaani kwa waelewa saa hizi wangekuwa wamejifungia ndani na wanajadili what next
Ila sisi wala mshipa hautushtuki daa
Viongozi wetu ndio hawa hawa wananchi na wanatoka kwenye society yetu ya kuamka hujui unaenda wapi mradi utoke tu kama ndege
 
AMREF walizingua kitu gani?
Kwa kweli Sijui vizuri ila mzigo wa Global Fund ulianzia Save the Children, Mradi ukiitwa Global Fund HIV/AIDS and TB "nasikia" wakubwa Serikalini wakaweka ngumu, kwahio award iliyofuata wakapewa AMREF, ukumbuke hizo zote ni billions of Tzs, sasa "nasikia" figisu zikaanza kuwa MD wa AMREF sio Mtanzania na blah blah kibao, Ndio phase iliyofuata wakapigwa chini, mzigo ukaenda huko MDH na Benjamin Mkapa Foundation nadhani.

Kaka huo mpunga wa Global Fund sio wa kitoto, ni pesa ya kufa MTU.
 
Ohhhh.....
Asante kwa taarifa mujarab kabisa mkuu.
Kwahiyo hawa MDH, wamefunga office zao kwamaana ya kuahirisha miradi ama..... wamefunga office zao kwa muda ili wakisubiri pengine tamko lingine tofauti??
Nadhani Trump anafanya auditing ya mali za umma. Tutegemee mabadiliko makubwa sana. Nilichogundua, jamaa anapendwa sana na wala hataki kuwa-disappoint mashabiki zake.

And, I should also add this, the wants to keeps things interesting - a kind of gesture of I know what to do, to the previous administration.
 
Ohhhh.....
Asante kwa taarifa mujarab kabisa mkuu.
Kwahiyo hawa MDH, wamefunga office zao kwamaana ya kuahirisha miradi ama..... wamefunga office zao kwa muda ili wakisubiri pengine tamko lingine tofauti??
Honestly sidhani kama ni kweli wamefunga ila wameathirika pakubwa Sana Sana, najua Wana other sources of funds kwa miradi mingine. Ila kwa NGO ukiwa na Mradi Mkubwa basi gharama za uendeshaji Ofisi zinakua low maana ule Mradi Mkubwa unakua unachangia pakubwa
 
Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa
Hili shirika lina wakurugenzi hovyo sana. Inasikitisha tuna watu katika taifa wanapewa nafasi kubwa wakiwa hawana ufanisi. Ni heri kulikodisha kwa mabeberu waliendeshe kwa muda fulani kama ambavyo imefanyika kwenye baadhi ya benki.
 
Ni Sera ya NGOs nyingi za kimataifa nchini kusafirisha staff/wageni kwa ndege (preferably ATC) kwa ajili ya safety/usalama. Sasa kimeumana tayari watu wapo home wiki ya pili ATC mjipange na wafanyakazi wa Halmashauri hukoo Buhigwe sasa
Tunaomba Serikali Sikivu ya Chama cha mapinduzi itafute suluhisho
 
Na marejesho yetu kwao ni kama kiasi gani hivi? Maana Mzungu chake hakiendi bure.
 
Kwa kweli Sijui vizuri ila mzigo wa Global Fund ulianzia Save the Children, Mradi ukiitwa Global Fund HIV/AIDS and TB "nasikia" wakubwa Serikalini wakaweka ngumu, kwahio award iliyofuata wakapewa AMREF, ukumbuke hizo zote ni billions of Tzs, sasa "nasikia" figisu zikaanza kuwa MD wa AMREF sio Mtanzania na blah blah kibao, Ndio phase iliyofuata wakapigwa chini, mzigo ukaenda huko MDH na Benjamin Mkapa Foundation nadhani.

Kaka huo mpunga wa Global Fund sio wa kitoto, ni pesa ya kufa MTU.
Watu watakua wamenunua apartments Dubai
 
Back
Top Bottom