Air TANZANIA launches a Non Stop Mumbai Fly

Why shouldn't I; you featherbrained idiot?
200w.webp
 
Tanzania is RISING. wapi waliosema 787 ni hasara ya kwenda mwanza na mbeya? Mtapata taabu sana.
Hongera JPM
Njia ya kuelekea mafanikio mara zote huwa na vikwazo vingi na kukatishwa tamaa. Na hata ATCL ikianza hizo long haul routes ni lazima wakosoaji watakuja na mengine, tuliombee shirika letu mafanikio. Tunafahamu kuna kupanda na kuanguka, tusikate tamaa tutafikia matarajio yetu.
 
Kusingekuwa na zuio wangekuwa zaidi
Wakati wa utawala wa Mh. Jakaya Kikwete zilipigwa kelele sana za watumishi kupishana angani kutwa kucha, na kwa kweli serikali ilikua inapoteza pesa nyingi kwa safari zisizo na tija. Tusirudi huko !
 
Njia ya kuelekea mafanikio mara zote huwa na vikwazo vingi na kukatishwa tamaa. Na hata ATCL ikianza hizo long haul routes ni lazima wakosoaji watakuja na mengine, tuliombee shirika letu mafanikio. Tunafahamu kuna kupanda na kuanguka, tusikate tamaa tutafikia matarajio yetu.
Nauliza tuu, huko hatudaiwi ?
 
Wakati wa utawala wa Mh. Jakaya Kikwete zilipigwa kelele sana za watumishi kupishana angani kutwa kucha, na kwa kweli serikali ilikua inapoteza pesa nyingi kwa safari zisizo na tija. Tusirudi huko !
Ok
 
Safari za Entebbe na Bunjubura zinaendelea swaafi kabisa.
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Back
Top Bottom