Why shouldn't I; you featherbrained idiot?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Why shouldn't I; you featherbrained idiot?
Get lost!
Get lost!
Keep on trawling the net to find those nefarious images and paste them here.
Ngoja tugawe mapapai kwa wananchi kwanzaaaa!!Route ya chato lini?
Don't worry, it's a weekend and the premier league is off. You are my weekend's entertainmentKeep on trawling the net to find those nefarious images and paste them here.
Haya kanjibhai muendege kwenu sasa sio mnang'ang'ania tu bongo!
Hiyo inaitwa penetration strategy kweny marketingIla kwa hiyo bei wanaenda kwa hasara na wasipojaza ni hasara zaidi
Duh. Patrice lumumba kwenye ubora wakoWhat you have written is just nongermane and inappurtenant; or to put it succinctly, I am neither petrified, beguiled nor infatuated by the English language.
Njia ya kuelekea mafanikio mara zote huwa na vikwazo vingi na kukatishwa tamaa. Na hata ATCL ikianza hizo long haul routes ni lazima wakosoaji watakuja na mengine, tuliombee shirika letu mafanikio. Tunafahamu kuna kupanda na kuanguka, tusikate tamaa tutafikia matarajio yetu.Tanzania is RISING. wapi waliosema 787 ni hasara ya kwenda mwanza na mbeya? Mtapata taabu sana.
Hongera JPM
Wakati wa utawala wa Mh. Jakaya Kikwete zilipigwa kelele sana za watumishi kupishana angani kutwa kucha, na kwa kweli serikali ilikua inapoteza pesa nyingi kwa safari zisizo na tija. Tusirudi huko !Kusingekuwa na zuio wangekuwa zaidi
Nauliza tuu, huko hatudaiwi ?Njia ya kuelekea mafanikio mara zote huwa na vikwazo vingi na kukatishwa tamaa. Na hata ATCL ikianza hizo long haul routes ni lazima wakosoaji watakuja na mengine, tuliombee shirika letu mafanikio. Tunafahamu kuna kupanda na kuanguka, tusikate tamaa tutafikia matarajio yetu.
OkWakati wa utawala wa Mh. Jakaya Kikwete zilipigwa kelele sana za watumishi kupishana angani kutwa kucha, na kwa kweli serikali ilikua inapoteza pesa nyingi kwa safari zisizo na tija. Tusirudi huko !
Itaanza yule msaliti atakaporudi.Route ya chato lini?