Air Tanzania signs MOU with Russia's Irkut over MC-21

Russia wenyewe Wanatumia Boeing na Airbus zao hawazitaki muhahahaha
 
Kwa hivyo hio MC-21 ni kama yutong tu na si scania katika ndege?
 
Reactions: bdo
wenzetu wa wanapurchase maboeing na maairbus sie tunakomaa na vindege ambavyo havieleweki afu tuingie kwenye ushindani nao! ofcoz sie watu wa vibovu mv daressalaam, mabehewa ya treni,nk

Russia's passenger jet MC-21 challenges Boeing-Airbus duopoly - RT 110817

 
Kitu ingine ya Mrusi hii


Imetua Perth Australia mwezi huu

 
Kitu ingine ya Mrusi hii


Imetua Perth Australia mwezi huu

Kaka hii ndege sio ya mrusi, ni ndege ya m Ukraine. Ni ya mizigo tu.. Ndio ndege kubwa kuliko zote dunia i so far... Naifuatilia sana kila inapoenda.. Just very interesting.. Nimeshawahi kuiona live KIEV.. Ningeweka picha hapa ila picha ina sura yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…