Air Tanzania signs MOU with Russia's Irkut over MC-21

Mkuu Bukyanagandi huwa nafuatilia sana comment zako,wewe ni msema kweli kabisa,na wala sio mbabaishaji,huwa unaongea vitu vilivyoenda shule,mara nyingi nikisoma ulichoandika huwa naona kama Lecturer yuko mbele ya darasa anafundisha,hujawahi kusema uongo,amini nakwambia huku kuna wasomaji huwa tunafuatilia kila comment,hivyo huwa tunaweza kupembua pumba na mchele,wewe pamoja na wadau kadhaa hutupa mchele ulio safi kabisa.Kitu ambacho mimi huwa nakataa siku zote ni propaganda zia West.Sawa kabisa Congo hununua ndege used kwa ajili ya unafuu wa bei,halafu sidhani kama huwa zinafanyiwa maintanance za uhakika.We fikiria ndege watu wanapakia hadi mifugo kama mbuzi n.k,hizo zitakua ndege za maana kweli.Mkuu vijana wengi kwa kulishwa propaganda za West huwa wanasema Urusi ni nchi maskini na haina viwanda,sasa hiyo midege mikubwa duniani huwa inatengenezwa wapi? Hata juzi tu hapa kwenye Russia victory day 2016 wameonesha zana za kivita pamoja na dege kubwa zaidi duniani amabalo lipo Russia peke yake.Utakuta watu wanasema ooh Russ inategemea mali ghafi pekee gesi na mafuta,sasa hiyo midege imetoka ardhini kama gesi?
Mkuu naikubali sana micango yako na ya wadau ambao tumekataa kulishwa sumu za west.Tuendelee kuwaelimisha.
 
SAFI SANA mkuu.
 
It is goog to have our own airbus even though seems so small and its good start
 
Tuthamini vyakwetu tuache kukuza vya njee sio tunaponda tu without any evidence tusikariri Mc-21 imetokelezea aisee affordable and comfortable way to travel
 
Ndege za kirusi kusema ukweli zina historia ya kudondoka hovyo mfano, hizi zinazoitwa ANTONOV" haipiti miezi miwili lazima utasikia imeanguka tens Mara nyingi wakati Wa kupaa au inapokuwa inatuwa.
Ukiwa hujui kitu bora kunyamaza tuu.
Antonov ilianguka lini na wapi let ushaidi wowote hapa.
Unless hata hizo ndege hujui sifa yake kubwa ni nini na hujui zipo ngapi
 
Ukiwa hujui kitu bora kunyamaza tuu.
Antonov ilianguka lini na wapi let ushaidi wowote hapa.
Unless hata hizo ndege hujui sifa yake kubwa ni nini na hujui zipo ngapi
Tuambie basi kama we Ni mtaalamu ...nahisi utakuwa kilaza wewe
 
Ndege za North Korea ndio wa kwanza. Somalia wanafuata
Mkuu Vin Diesel ...

Lini umesikia ndege ya North Korea ilipata ajali / kuanguka?

Ingawa wana ndege za kirusi tu Antonov, Ilyushin pamoja na Tupolev Tu-204-300

Infact toka shirika la ndege la Air Koryo (North Korea) lilipoanzishwa halijawahi kupata ajali ya ndege hata moja ... na wanatumia ndege ze Warusi tu! ... haya sasa niambie kuhusu Air France, Luftansa au BA zinadondoka kila siku!

Sasa ni lini ulisikia zimepata ajali? - infact ndio the world reliable planes so far ... zaidi ya hata hizo Boeing & Airbuss
 

how can you get an accident if you dont fly? safari zao ni za mazoezi ya kijeshi tu ndani ya nchi yao.....Hata hivyo nakuunga mkono ndege za urusi ni vyuma.
 
Hakuna ndege ambazo zimeua wengi kama Airbus mf air france kutoka brasil - ufaransa

Zimeua abiria wengi sana, lakini mara nyingi awasemi ukweli kuhusu sababu za ndege hizo kuanguka ghafla - vyombo vyote vya magharibi ujitahidi kutunza siri za ubovu wa ndege hizo, binafsi huwa sizipendi kuzipanda.

Bro Salute!!!!
Aeroflot ya Russia ina ndege za kigeni.

Kwani tatizo liko wapi? Mbona mashirika ya ndege nchini Marekani nao wanatumia baadhi ya ndege za kigeni au wewe hilo ulijui!! Si hilo tu hata ndege za abiria zinazo hundwa na makampuni ya Boeing na zamani Lockheed, MacDonnel Douglas nk nyingi ya ndege hizo zinatumia injini za kigeni specifically kutoka Uingereza (Rolls Royce).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…